Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Watu mna siri sana kumbe mnapeana?Hamjui mnataka nini, ukipewa muda huohuo hata hujatawaza manii unakimbia kuanzisha nyuzi, wanawake skuiz malaya sanasana hawa wa buku bee, ukinyimwa mpk ndoa unaanziaha uzi unahisi kuna jamaa anajipigia! A very negative mindset!
Huyo jamaa anaejipigia anaeza asiwepo, ila akawa anasuburiwa aje, unakuja sikia mdada aliekwambia no sex till marriage, kashazalishwa ni single mother Seranukinyimwa mpk ndoa unaanziaha uzi unahisi kuna jamaa anajipigia!
Nyie oaneni tu mi ntakua kiranja wenu.Upo sahihi sana.Ila,usiishi katika upotofu.Oa uwe na yako family.
Unaenda kumshitaki kwa kukuharibia ujana wako na kukupotezea muda.Huyo jamaa anaejipigia anaeza asiwepo, ila akawa anasuburiwa aje, unakuja sikia mdada aliekwambia no sex till marriage, kashazalishwa ni single mother Seran
Na nyie punguzeni kuwapa majukumu mazito madogo, mbona dada zenu hawakua na mambo mengi?Siku hizi madogo lialia kila kitu wanaona kipya na kuja kujishangazisha mitandaoni!
Mnapeana nini? Hebu soma tenaWatu mna siri sana kumbe mnapeana?
Wamepewa majukumu na nani? Chagua mtu mnaeendana naye madogo wanaforce mpaka mali zisizo wahusu wataacha ndala mno!Na nyie punguzeni kuwapa majukumu mazito madogo, mbona dada zenu hawakua na mambo mengi?
Waje huku usukumani hamna mambo mengi mtaji wako ng'ombe, shamba, nguvu & urijali.Wamepewa majukumu na nani? Chagua mtu mnaeendana naye madogo wanaforce mpaka mali zisizo wahusu wataacha ndala mno!
Kila sehemu wanawake wapo sana tu wanakimbilia type zisizo zao ndio maana milio kila kona! Hakuna jambo jipya mnakuza mambo tu!Waje huku usukumani hamna mambo mengi mtaji wako ng'ombe, shamba, nguvu & urijali.
Huko usiguse kabisa.Kama wwanawake wachaga tunaoaje sasa
Demu alishaona kila anachoongea jamaa ni mtiifu so mwanamke anakuwa ni mwamuzi na dereva wa mahusiano, kibaya zaidi jamaa anajikakamua kutimiza mahitaji ya mwanamke ambae hakuna anachogain kwake zaidi ya kuitwa Hubby, Baby nkJamaa yangu we ni bwege mtozeni, tunasema ni ngumu kupata mke sio mbunye.
Sasa demu hupati mbunye na kodi unakipa na mahutaji unampa.
Mkuu wewe ni domo zege wala sio kwamba mwanamke ndo anaamua aolewe au asiolewe.
Natafuta Ajira
Mbona hii tunaijua toka zamani? Sisi wanawake ndio watongozwaji hii tunaijua vizuri. Kuna dada humu anaitwa HS ilikuwa tunawaambia sana.
No sex before marriage ni mpango mzima, ila huo mpango mzima uendane na kanuni. Hakuna kuvuana, hakuna kuhudumiana, wazazi watoe huduma maana bado wewe sio mke wangu. Ukinivulia manake tayari nawajibika kukuhudumia, walau nikuhudumie maana you offer me sex.Kwa mtoa mada bado hajauziwa anaambiwa mpaka ndoa ndo atapewa.
No sex before marriage ni idea nzuri na ni sheria ya Mungu kabisa, ila kwa dunia ya sasa ilivoharibika, mdada unaemtongoza akikwambia (no sex before marriage) mara nyingi maana yake ni hajavutiwa kimapenzi na wewe, na sio kwasababu anaifata sheria ya Mungu
Very sad KikulachoChako