Acheni maneno ya mitaani na mitandaoni... Kupata mke ni kazi sana miaka hii

Mkuu hali ni mbaya afadhali walioolewa, kumpata wa kumuweka ndani ndo mziki, mpaka umufanye mke sio kirahisi
 
Fafanua zaidi mkuu
 
Yeah ndo ukweli mkuu, mi naambiwa ndoa, mwingine anakula kwa alfu 7 ya nauli
 
Ulikuwa unataka mke au dem wa kutia? Ulitongoza mlokole kwa kutarajia nini? Kutafuta mke kwa kutegrmea ushauri wa mitandaoni ni ngumu sana!
Kuna wataalamu wa kudili na sampuli mbalimbali za ke humu mkuu
 
Kupata mke siyo kazi,..kazi ni kupata mke Msaidizi....sasa hivi wanawake wamekuwa ni washindani siyo wasaidizi...shida ipo hapo.
 
Hii imekaa vizuri
 
Kupata mke siyo kazi kazi ni kupata mke Msaidizi....sasa hivi wanawake wamekuwa ni washindani siyo wasaidizi...shida ipo hapo.
 
Duh ko uliomba show au na we
 
Mimi nina mchaga wangu wa kibosho tunapendana sana lakini zile hadithi huwa nikizisikia kuhusu wachaga wa kibosho huwa inaniogopesha.Nishaurini ni mbwage au nikomae nae tu maana tunapendana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…