Ukishaona hivyo kimbia ipo siku utakutana na unayemtaka, keep searching....mapenzi ya pesa mbele hayakufikishi popote, wale wanaosema uwe na pesa Tu wengi wanaishi Kwa presha na hata Mahusiano yao hayaeleweki, Wana stress na kupenda kujifariji Tu.Mkuu kwani wewe ni mgeni na hiki kizaz? Ukijibu hivyo unadhani relation ina go on kama sio breakup
Mimi namwambia kabisa akitaka huduma awe tayari kutoa ushirikianoUnaona mkuu, utapeli huo, kama huitaji kutoa tunda usiombe mahitaj
Muhenga alikudanganya huyoKuna mzee mmoja aliwahi kunambia kuwa ukiona mwanamke amekukataa basi ujie kuna sehemu hujachanga karata zako vema.
Wanawake huwawekea sheria wanaume wasiowapenda au walio dhaifu kwao.
Rudisha timu nyuma na ujipange upya kuanzisha mashambulizi.
Satan
Kumtafuta mama wa nyumba si mchezo!Hivi mfano kama huoni demu wa maana ili umfanye mama watoto hapo tatizo linakua ni hao mademu au wewe mtafutaji?
Hahahah saiv usenge kama huo cwez fanyiwa huyo mwamba kafanya vzr kujiongeza
Huna ubaharia wowote.Kamanda mi ni baharia ila tactic imegoma
Demu ashajua jamaa ni boya, na si ajabu yupo muhuni anaemkaza bure.Demu alishaona kila anachoongea jamaa ni mtiifu so mwanamke anakuwa ni mwamuzi na dereva wa mahusiano, kibaya zaidi jamaa anajikakamua kutimiza mahitaji ya mwanamke ambae hakuna anachogain kwake zaidi ya kuitwa Hubby, Baby nk