Acheni uchoyo jamani!!!!!

Bado sijaelewa, tena hii sikukuu si ndio ile mbuzi wanaangushwa wa kutosha?
Huku mastatus naona tu mambuzi yamedondoshwa ila sasa tunakula kwa macho
 
Auntie hizi ni dalili za uchoyo, kutoka nilipo ilitakiwa uniambie nianze safari ijumaa. Leo ilitakiwa nipo nakula tu[emoji57][emoji57][emoji57]
Hapo tuu jamani
 
Mm mwenyewe nimefungua sijapata hata text ya salaam [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie nialike tu nije ninywe hata kilimanjaro, si zinapunguza njaa?
 
Huku mastatus naona tu mambuzi yamedondoshwa ila sasa tunakula kwa macho
Bora hata wangekula kimya kimya tu, wanatuzidishia njaa tu.
 
Uchawi sio lazima uvue nguo, huu nao uchawi mkuu. Yaani watu tunalia wewe unacheka[emoji134][emoji134][emoji134]

Nimeshiba hatari, kuanzia jana sisi tulianza sikukuu ni pilau nyama,Leo jirani katuletea tena, Usijali Mida yenu watu wazima si jioni sisi tunaokaa nyumbani ndio muda wetu wa kujidai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…