hasa akishashiba...atasahau kua alikuja na njaa na hivi lile jina limemkaa kwenye koromeo Anaweza akawa anakula akang'ata jiwe bahati mbaya..Akaropoka ropooo (vyakula vya ma....... utavijua tu)Hahaha lile jina unalotuita humu usifikiri tunalipenda,,,limechangia sana wewe kukosa mialiko yetu[emoji23][emoji23][emoji23]
Tunaweza kukaa mezani ukajikuta ushalitamka
Sawa auntieAuntie nitumie tu sikukuu yangu ndio takuelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hasa akishashiba...atasahau kua alikuja na njaa na hivi lile jina limemkaa kwenye koromeo Anaweza akawa anakula akang'ata jiwe bahati mbaya..Akaropoka ropooo (vyakula vya ma....... utavijua tu)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna samaki...njoo tuwakaange[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo yule mdudu situmii, ningeenda hivyo hivyo bila mwaliko.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hasa akishashiba...atasahau kua alikuja na njaa na hivi lile jina limemkaa kwenye koromeo Anaweza akawa anakula akang'ata jiwe bahati mbaya..Akaropoka ropooo (vyakula vya ma....... utavijua tu)
Mipango hatarishiiNenda kwa hazard ukawavurugie mipango
Vikirikuu vya buku jero ndio vinini hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hutakagi kufa na mavitu moyoni
Umetengua mualikoo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuwa na subra