Acheni uchoyo jamani!!!!!

Acheni uchoyo jamani!!!!!

Hahaha lile jina unalotuita humu usifikiri tunalipenda,,,limechangia sana wewe kukosa mialiko yetu[emoji23][emoji23][emoji23]

Tunaweza kukaa mezani ukajikuta ushalitamka
hasa akishashiba...atasahau kua alikuja na njaa na hivi lile jina limemkaa kwenye koromeo Anaweza akawa anakula akang'ata jiwe bahati mbaya..Akaropoka ropooo (vyakula vya ma....... utavijua tu)
 
Watakuja na mavipaza sauti dirishan kwake wamuharibie gamee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hazard sidhani kama tutamwona tena hapa jukwaani kwa muda huu. Hadi keshoooo.
 
Ukijirekebisha na lile jina lako..X-MASS tunaweza kuangalia njia mbadala...tofauti na hapo utayala yale mavitu unayotuitaga
 
hasa akishashiba...atasahau kua alikuja na njaa na hivi lile jina limemkaa kwenye koromeo Anaweza akawa anakula akang'ata jiwe bahati mbaya..Akaropoka ropooo (vyakula vya ma....... utavijua tu)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo yule mdudu situmii, ningeenda hivyo hivyo bila mwaliko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna samaki...njoo tuwakaange
 
Nimeshiba hatari, kuanzia jana sisi tulianza sikukuu ni pilau nyama,Leo jirani katuletea tena, Usijali Mida yenu watu wazima si jioni sisi tunaokaa nyumbani ndio muda wetu wa kujidai
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
hasa akishashiba...atasahau kua alikuja na njaa na hivi lile jina limemkaa kwenye koromeo Anaweza akawa anakula akang'ata jiwe bahati mbaya..Akaropoka ropooo (vyakula vya ma....... utavijua tu)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walah umenichekesha!!
Nialike tu mdogo wangu, leo sikuiti kabisa. Leo mie mgeni mtiifu kabisa.
 
Ukijirekebisha na lile jina lako..X-MASS tunaweza kuangalia njia mbadala...tofauti na hapo utayala yale mavitu unayotuitaga
Leo ukinialika sikuiti tena, ila msiponialika ndio nitajua kweli nyie ni mafurushi haswaa.
 
What goes around comes around ukiona hivyo ujue wakati wako na wewe hukualika watu kama njaa mbona kawaida hata chelsea jana wameshinda nayo [emoji23]
 
Kweli Dada mm Jana nimerud zangu Dom siyo mm
Umetengua mualikoo
IMG_20190811_093555.jpeg
 
Back
Top Bottom