Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Sijuhi wewe jamaa leo umewaza nini kwa kweli.Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili wa gharama, maji safi na kuhudumiwa kitabibu
Kichwa cha habari chahusika
Niwatakie siku njema
Pia mayai ya kuku wa kisasa ni bora kuliko hayo ya kienyeji. Watu wasikariri.Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili wa gharama, maji safi na kuhudumiwa kitabibu
Kichwa cha habari chahusika
Niwatakie siku njema
Mayai ya kisasa yananenepesha hovyo mtu akiyafakamia,Pia mayai ya kuku wa kisasa ni bora kuliko hayo ya kienyeji. Watu wasikariri.
Uko sahihi, nitaanza kupanda mchicha bafuni ambako kuna maji na sabuni, kuliko wa nje kwenye mavi ya ng'ombe, kuku na takataka nyinginezo.Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili wa gharama, maji safi na kuhudumiwa kitabibu
Kichwa cha habari chahusika
Niwatakie siku njema
Sijuhi!Sijuhi wewe jamaa leo umewaza nini kwa kweli.