Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili, maji safi, matibabu,chumba safi cha umeme

Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili, maji safi, matibabu,chumba safi cha umeme

Uko sawa na ndio maana ukienda kununua nyama Buchani mkoa wa Kilimanjaro na Arusha ni nzuri sana sababu ng'ombe wao wanatandikiwa hadi kitanda na hawanyeshewi.Nenda sasa kwa wale wenzangu ambao ng'ombe wao wako zizini matope hadi magotini mwa binadamu na kuchapwa mijeledi.
Ila nawaza ulichowaza leo sijui ulifikiria nini?
 
Msimu wa likizo huu shule zimefungwa usije kukuta tunabishana na watoto zetu kwa mada kama hizi ni mtu mjinga tu ndio anayeweza kuamuni kuku wakutotolewa kwenye mashine ni bora zaidi ya kuku wa kienyeji
 
tatizo hawapiti chanjo hivyo magonjwa yakilipuka hasa yanayo toka kwa mnyama kwenda kwa binadamu hatari ndio huonekana
 
Kuku anayelishwa madawa na kunyimwa uhuru wa kujitafutia kwa kiasi kidogo hawezi kuwa sawa na anayelelewa kwa madawa na kukosa uhuru.
Raha ya kuku azurure kidogo
 
Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili wa gharama, maji safi na kuhudumiwa kitabibu

Kichwa cha habari chahusika


Niwatakie siku njema
Pia mayai ya kuku wa kisasa ni bora kuliko hayo ya kienyeji. Watu wasikariri.
 
Mh! Tusidanganyane wewe tena utakuwa zwazwa wa mwisho hayo makuku ambayo hayana baba yanatagwa tu mayai bila kupandwa unaona ndo yanafaa..?!! kuku gani unaambiwa usile ngozi yake na mifupa why..?
kama ni safe mbona unashauliwa usile ngozi na mifupa, na kama ni hivyo nyama yake itakuwa na ubora kiasi gani.. hao kuku ambao wakikisa calcium wanadonoana mpk kufa si mazombi hayo!..
 
Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili wa gharama, maji safi na kuhudumiwa kitabibu

Kichwa cha habari chahusika


Niwatakie siku njema
Uko sahihi, nitaanza kupanda mchicha bafuni ambako kuna maji na sabuni, kuliko wa nje kwenye mavi ya ng'ombe, kuku na takataka nyinginezo.
 
Utasikia “Kale ka kienyeji kabisa, hakajajichubua wala hakajui P2 ni nini” Kale unakula nyama kwa nyama.

Hata kwa kuku tofauti iko hapo.
 
Back
Top Bottom