Dexta JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 2,096 Reaction score 5,211 Dec 20, 2024 #21 Ulishawahi kula nyama ya mnyama wa porini ww, kama ungekuwa ushawahi kula usingeleta huu utoto hapa kuhusu kuku.
Ulishawahi kula nyama ya mnyama wa porini ww, kama ungekuwa ushawahi kula usingeleta huu utoto hapa kuhusu kuku.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Dec 20, 2024 #22 Inategemea na ulimi wako Ila Mimi nachojua kuku wa kienyeji ni mtamu katika ulimi na ni mzuri kiafya .
Inategemea na ulimi wako Ila Mimi nachojua kuku wa kienyeji ni mtamu katika ulimi na ni mzuri kiafya .
Fake P JF-Expert Member Joined Jan 3, 2017 Posts 3,952 Reaction score 11,919 Dec 20, 2024 #23 Wakati mwingine tunashindwa kucomment maana wahuni huni🤣 wa Leo Huwa mnamaanisha vitu kitofauti (Fasihi) .kama ni kuku kuku Chenye ubora ni Bora na kitamu ni kitamu
Wakati mwingine tunashindwa kucomment maana wahuni huni🤣 wa Leo Huwa mnamaanisha vitu kitofauti (Fasihi) .kama ni kuku kuku Chenye ubora ni Bora na kitamu ni kitamu
R Rigidity JF-Expert Member Joined Aug 21, 2024 Posts 391 Reaction score 482 Feb 7, 2025 #24 Wewe kumbe hujajua kwamba hata vinyesi na wadudu ni miongoni mwa mlo kamili kwa kuku