Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili, maji safi, matibabu,chumba safi cha umeme

Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili, maji safi, matibabu,chumba safi cha umeme

Ulishawahi kula nyama ya mnyama wa porini ww, kama ungekuwa ushawahi kula usingeleta huu utoto hapa kuhusu kuku.
 
Inategemea na ulimi wako Ila Mimi nachojua kuku wa kienyeji ni mtamu katika ulimi na ni mzuri kiafya .
 
Wakati mwingine tunashindwa kucomment maana wahuni huni🤣 wa Leo Huwa mnamaanisha vitu kitofauti (Fasihi) .kama ni kuku kuku Chenye ubora ni Bora na kitamu ni kitamu
 
Wewe kumbe hujajua kwamba hata vinyesi na wadudu ni miongoni mwa mlo kamili kwa kuku
 
Back
Top Bottom