ACP Kingai ni vyema na haki ikiwa utarejesha Tsh 260,000 fedha za mtuhumiwa wa ugaidi

Wakuu wote heshima sana.

Sote tumekuwa tukifuatilia kesi ya UGAIDI inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA na watuhumiwa wengine watatu.

Jana baada ya upande wa mashtaka kuwaondoa mashahidi wanne,mtuhumiwa wa Ugaidi mwanajeshi mstaafu au ukipenda mstaafishwa alipanda kizimbani kwa minajili ya kujitetea.

Akiongozwa na wakili wa utetezi alibainisha wazi wakati wa ukamataji ACP Kingai alichukua simu zake na fedha kiasi cha Tsh 260,000.

Muungwana ni vitendo ni vyema Kingai akamrejeshea mtuhumiwa fedha zake bila kujali Mtuhumiwa atashinda au atashindwa kesi yake.

Ikiwa ACP Kingai alishatafuna fedha za mtuhumiwa na hali ya uchumi imemkalia vibaya basi atoe namba zake za simu Sisi waTanzania ni watu wenye huruma hakika tutachanga kama tunavyochangia watu wengine bila kinyongo wala hiyana.

Naomba kuwasilisha.
Arudishe na riba
 
Tuna polisi wahuni na washenzi kuwahi kutokea tangu dunia kuumbwa.huyu mtu lazima pesa hiyo atarudisha.imagine RPC mpumbavu Kama huyu bado yupo ofisini,mama wa shungi timua IGP Kisha timua huyu mpumbavu anayeiba fedha hadharani.
 
Wakuu wote heshima sana.

Sote tumekuwa tukifuatilia kesi ya UGAIDI inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA na watuhumiwa wengine watatu.

Jana baada ya upande wa mashtaka kuwaondoa mashahidi wanne,mtuhumiwa wa Ugaidi mwanajeshi mstaafu au ukipenda mstaafishwa alipanda kizimbani kwa minajili ya kujitetea.

Akiongozwa na wakili wa utetezi alibainisha wazi wakati wa ukamataji ACP Kingai alichukua simu zake na fedha kiasi cha Tsh 260,000.

Muungwana ni vitendo ni vyema Kingai akamrejeshea mtuhumiwa fedha zake bila kujali Mtuhumiwa atashinda au atashindwa kesi yake.

Ikiwa ACP Kingai alishatafuna fedha za mtuhumiwa na hali ya uchumi imemkalia vibaya basi atoe namba zake za simu Sisi waTanzania ni watu wenye huruma hakika tutachanga kama tunavyochangia watu wengine bila kinyongo wala hiyana.

Naomba kuwasilisha.
Jamaa wanahali ngumu sana hawasemi tu!askali ukimbeba kwenye boda kwenda kituoni mkifika kituoni wale walinzi anawauliza ase mpeni buku boda yeye anaingia ndani wale walinzi wanakuambia nenda kwanza utaijia baadaye hela!sasa swali nikirudia hela utanipa elfu mbili?kwanini niliyembeba askali hukumjibu huna hiyo pesa ili niliyemleta ajue kuwa huna pesa?wanakera sana jamaa na wanadhalau kazi za watu sana!
 
L
Wakuu wote heshima sana.

Sote tumekuwa tukifuatilia kesi ya UGAIDI inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA na watuhumiwa wengine watatu.

Jana baada ya upande wa mashtaka kuwaondoa mashahidi wanne,mtuhumiwa wa Ugaidi mwanajeshi mstaafu au ukipenda mstaafishwa alipanda kizimbani kwa minajili ya kujitetea.

Akiongozwa na wakili wa utetezi alibainisha wazi wakati wa ukamataji ACP Kingai alichukua simu zake na fedha kiasi cha Tsh 260,000.

Muungwana ni vitendo ni vyema Kingai akamrejeshea mtuhumiwa fedha zake bila kujali Mtuhumiwa atashinda au atashindwa kesi yake.

Ikiwa ACP Kingai alishatafuna fedha za mtuhumiwa na hali ya uchumi imemkalia vibaya basi atoe namba zake za simu Sisi waTanzania ni watu wenye huruma hakika tutachanga kama tunavyochangia watu wengine bila kinyongo wala hiyana.

Naomba kuwasilisha.
E

Leo angalao nimekuelewa
 
Fedha walitumia yeye na Mahita toka Moshi na kuja kutanulia Dar es Salam.

Kuna tofauti gani kati ya huyu na aliyejifanya kaimu afisa kodi Lengai Ole Sabaya?

Hakuna tofauti kati ya ACP Kingai na Sabaya Ole Lengai.Labda tofauti baina yao mmoja alikuwa mwanasiasa jambazi,Mwizi & Jangili mwingine ni Police wa ngazi ya juu tena eneo lake la kazi wapo Viongozi wengi wa ngazi juu sana lakini naye ni jambazi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kingai sura yake imekaa kitapeli tapeli na mzushi. Watu wanaojua kusoma sura za watu sidhani kama wameshangaa sana
Kabisa mkuu na mahita jambazi Kama babake ,babake alipora kwenye mabenki
 
Huyu mungu aliyejaza roho ya kusamehe ni mwema sana vinginevyo hawa police si tunaishi nao uraiani tunge deal nao kimtaa mtaaa mbona pangekua uwanja wa vita
 
Back
Top Bottom