PreGE2025 ACT na Operation LINDA KURA wakati umesaini 'Ukishapiga Kura Nenda Nyumbani Kalale'

PreGE2025 ACT na Operation LINDA KURA wakati umesaini 'Ukishapiga Kura Nenda Nyumbani Kalale'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Kwa mujibu wa kanuni za maadili ya uchaguzi ambazo ACT Wazalendo wamesaini na kuridhia ni kuwa, ukishapiga kura rudi nyumbani kasubiri matokeo, na hata wakala wako haruhusiwi kuingia na simu kukujulisha kinachoendelea hata kama mabox ya kura feki yanaingizwa, sasa utalindaje kura ukiwa chumbani kwako ukiangalia foleni za wapiga kura kwenye TV?
 
Ccm B
 
Wanataka kucheza na akili za wajinga
 
Kwa mujibu wa kanuni za maadili ya uchaguzi ambazo ACT Wazalendo wamesaini na kuridhia ni kuwa, ukishapiga kura rudi nyumbani kasubiri matokeo, na hata wakala wako haruhusiwi kuingia na simu kukujulisha kinachoendelea hata kama mabox ya kura feki yanaingizwa, sasa utalindaje kura ukiwa chumbani kwako ukiangalia foleni za wapiga kura kwenye TV?
OKTOBA TUNA ✔️
 
Hivi Zito, je wewe unajielewa kweli?? Nimeona kwenye mtandao wa X umeandika 'Oktoba Linda Kura' Hivi wewe bwana mdogo unajielewa kweli?? Hivi huelewi au unajifanyisha Tu kwamba huelewi, nategemea umezisoma reply za watu. Kama NI mwelewa utaelewa.
Tume ilishatoa maelekezo kwamba Ukishapiga Kura' ondoka Rudi nyumbani kwako, sasa wewe iyo Kura' unailindia nyumbani kwako? Au wewe unataka kuhamasisha vurugu katika vituo vya kupiga Kura'? Wenye mamlaka ya kuratibu uchaguzi wameshatoa maelekezo, hawataki mkusanyiko baada ya kupiga Kura', wewe bwana mdogo HUJALAZIMISHWA kugombea NI utashi wako, sasa usiturudishe kulekule kutugombanisha na Dola, Sisi waTanganyika tumeelimika Kwa sasa, hatutaki ugomvi na Dola, hatutaki kulinda hizo Kura' tusije tukavunjwa viungo Kwa ushawishi wako.
Zito, Zito, Zito nakuita mara tatu, nakufundisha bwana mdogo, sio kujaza vyeti kabatini ndio umemaliza kila kitu duniani, unakosea! Tamaa mbaya!
Hiyo semi mnayoianzisha ya OKTOBA LINDA KURA' Ni kuhamasisha vurugu na watu watapigwa, kuvunjwa na ata kufa Kama inavyotokeaga katika chaguzi, na hili si jipya.
Ili kuepusha hizo vurugu ndio wenye mamlaka wakaona suluhisho ni KURUHUSU UKISHAPIGA KURA UONDOKE ili pasiwepo na mkusanyiko utakaosababisha vurugu.
Hii ahiitaji elimu ya PhD au CPA au Masters kuelewa, NI elimu ya shule ya msingi Tu darasa la nne au ngumbaru Kama mimi tosha kabisa kuelewa.
MImi ngumbaru naamua bila Shuruti kukufundisha wewe na kukushauri, 'OKOA MAISHA YA WATANZANIA' namaanisha wapiga Kura', Nenda sambamba na Tume ya uchaguzi haitaki vurugu; waelimishe waTanzania nini maana ya 'NO REFORM NO ELECTION!' hii sio vurugu, hii ni Amani kabisa.
Mimi NGUMBARU, (elimu yangu) nikuelimishe 'NO REFORM NO ELECTION ' Sio kufanya Fujo vituoni, mnaoipinga ni kutoielewa au Kwa makusudi Tu, hii ni suluhisho la kuondoa matatizo Kama hayo ya kulinda Kura', kwani wewe Zito Una ubavu WA kulinda Kura' kituoni?? kweli ya Mungu kabisa! Kabisa! Au unafurahi Sana watu wanapopigwa virungu na kushtakiwa chini ya Sheria 'HALALI' ya sasa ya tume ya uchaguzi, Sheria iliyopo NI Halali sababu ndio iliyopo, vinginevyo ibadilishwe. Kwenda kinyume chake ndio Fujo hizo unazotaka wewe! Kwani wewe hujawai kupigwa au kuvurugwa katika chaguzi zetu Kwa Sheria hizi?? NI rahisi Sana dogo, Mimi NGUMBARU nakushauri Kwa kuwa umeamua kushiriki uchaguzi Kwa ridhaa yako na umeridhia Sheria zillizopo, tafadhali fuata Sheria USIHAMASHISHE VURUGU siku ya kupiga Kura'. Piga Kura' potea kwako usilete Giza kituoni! basi Kama hutaki, usione aibu jiunge NO REFORM NO ELECTION sio usaliti NI kudai mabadiliko ya Sheria za uchaguzi bila vurugu!
 
Hakuna Sheria inayoruhusu mpiga kura kubakia kituoni baada ya kupiga Kura

Tunza hii

Ahsanteni sana 🇹🇿
 
1-Namna bora ya kulinda kura yako ni kubaki nayo nyumbani (kwa wivu mkubwa) by Ask.Bagonza.
2-Namna njema ya kuila keki yote uliyonayo na kubaki nayo mkononi ni kuiacha kabatini bila kuimega chini ya ulinzi mkali.
 
Kwa mujibu wa kanuni za maadili ya uchaguzi ambazo ACT Wazalendo wamesaini na kuridhia ni kuwa, ukishapiga kura rudi nyumbani kasubiri matokeo, na hata wakala wako haruhusiwi kuingia na simu kukujulisha kinachoendelea hata kama mabox ya kura feki yanaingizwa, sasa utalindaje kura ukiwa chumbani kwako ukiangalia foleni za wapiga kura kwenye TV?
Je wakala wako akitekwa ndiyo basi

Swali kama watekaji kwasasa yaani kabla ya uchaguzi wapo je siku ya kupiga kura watakuwa likizo?
 
Back
Top Bottom