PreGE2025 ACT na Operation LINDA KURA wakati umesaini 'Ukishapiga Kura Nenda Nyumbani Kalale'

PreGE2025 ACT na Operation LINDA KURA wakati umesaini 'Ukishapiga Kura Nenda Nyumbani Kalale'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa mujibu wa kanuni za maadili ya uchaguzi ambazo ACT Wazalendo wamesaini na kuridhia ni kuwa, ukishapiga kura rudi nyumbani kasubiri matokeo, na hata wakala wako haruhusiwi kuingia na simu kukujulisha kinachoendelea hata kama mabox ya kura feki yanaingizwa, sasa utalindaje kura ukiwa chumbani kwako ukiangalia foleni za wapiga kura kwenye TV?
Hii chama imejifia mda mrefu ,wamshukuru Mzee seif( R.I P) ULIJUA NA UNAJUA HULIPO KWA SASA, vidagaa ndo sasa wanachanua mdomo bila kujua lolote
 
1-Namna bora ya kulinda kura yako ni kubaki nayo nyumbani (kwa wivu mkubwa) by Ask.Bagonza.
2-Namna njema ya kuila keki yote uliyonayo na kubaki nayo mkononi ni kuiacha kabatini bila kuimega chini ya ulinzi mkali.
Namna bora ya kulinda kura Yako 2025 ni .............. east west, home is best, starting from 5am to 7pm
 
Asilimia 99.99 ya vyama vya upinzani hawajitambui hata kidogo na hata malengo ya vyama vyao hayatambui. Wanajiendea tu, wakishonewa suti basi kwao imetick
 
Asilimia 99.99 ya vyama vya upinzani hawajitambui hata kidogo na hata malengo ya vyama vyao hayatambui. Wanajiendea tu, wakishonewa suti basi kwao imetick
Mkuu chama cha upinzani ni chedema tu, leo ACT wapo na makamu wa kwanza pitia ACT, uyu ni kiongozi nje ya kulindwa na vyombo vya usalama , ana lipi jipya ? Ccm ni wahuni wanaweza kukupa cheo ila geresha tu , jiulize huyu makamo wa kwanza Zanzibar yupo na mahamuzi gani kwa serikali ya Zanzibar
 
Kama usemayo kweli basi walio saini hawako sawa.
Ni tatizo kubwa kwa jamii zao.
Wanaongoza wafu kifikra.
Hahahahaha,wanasemaga mswahili mfiche ktk maandishi, usikute ACT walisaini bila kusoma , ( asali )
 
ACT na Samia wote wajinga. Wanashindana na Mjinga Samia ambaye tayari ameshikilia kipenga mkononi kama refa wa mashindano hayo.Maigizo Tanzania mwisho mwaka huu. No Reforms No Election
 
Mimi upande wa act naona kama hawajitambui, wanajiendea tu na wahawana past, present na future, wapo wapo tu,
wangekua na hivyo vitu vitatu wasingeingia kwenye uchaguzi huu wa maigizo
 
Namkumbusha tu Zitto akishapiga kura ni marufuku kuonyesha uso wake kituoni.
Walisaini wenyewe, mimi kuanzia saa 11 asubuhi siku hiyo hadi saa 1 usiku nitakuwa nakula keki yangu taratibu na mvinyo sitaki taabu
 
Kwa mujibu wa kanuni za maadili ya uchaguzi ambazo ACT Wazalendo wamesaini na kuridhia ni kuwa, ukishapiga kura rudi nyumbani kasubiri matokeo, na hata wakala wako haruhusiwi kuingia na simu kukujulisha kinachoendelea hata kama mabox ya kura feki yanaingizwa, sasa utalindaje kura ukiwa chumbani kwako ukiangalia foleni za wapiga kura kwenye TV?
Kaa na msimamo wa chama chako;
Chadema - NRNE
CCM- Tunatiki
ACT wazalendo - linda kura yako.

Shida iko wapi?
 
Back
Top Bottom