ACT Wazalendo: Bandari ni Hoja ya Kiuchumi, Tunaunga Mkono Uwekezaji

Na bila ya hao hata kujua kusoma na kuandika visingekuwepo kwa wakati huo!!
 
Yeyote anayeunga mkono mkataba wa DP WORLD na serikali ya TZ hana akili. Thinking capacity Iko chini. Reasoning is very LOW. Kama huna akili kweli kama nilivyoelezea hata hapa nilichokiandika hutakielewa.
We ndo huna akili inapaswa ukapimwe mkojo. Waonee huruma graduates hawana kazi mtaani uwekezaji ndo solution ya ajira.
 
Ni aibu kwa mtu anayejiita King kuwa muongo. Hakuna mahali Chadema na TEC walipopinga uwekezaji. Wanapinga mkataba huu wa uwekezaji ulivyo na sio dhana ya uwekezaji. Chama cha kibepari kitapingaje uwekezaji?

Amandla...
Mkataba hauna shida yoyote Ile, chadema wanapinga kila jema la serikali ili wapate political advantage wapate cha kusema Kwa wananchi.
 
Zitto ni mnafiki sana. Amevizia sakata limepoapoa huku wengine wakidai DP World hawaji tena ndo anajifanya kuleta maoni ya ACT. Walikuwa wapi muda wote!?, Zitto ni mnafiki na mdini sana.
Act wazalendo ni chama kinachojielewa
 
Mods wapuuzi sana,mnatumia heading yangu ila content mumehamoshia Kwa mwingine
 
Na bila ya hao hata kujua kusoma na kuandika visingekuwepo kwa wakati huo!!
Ndivyo manvyojdanganya, hao wamekuja wamekuta watu wameshaanza kujenga vyuo vikuu. Soma hitoria ya jina la Dar Es Salaam kilikuwa nini.

Soma historia ya Ikulu Dar.

Huwa mnadanganyana sana.

Unajuwa neno "Alphabet" kuwa Alif Bee Tee?

mnadharau vyanzo vyenu vya elimu kwa kujazwa ujinga na kanisa, muendelee kuwa watumwa wo wa kuwapelekea fungu la kumi, kama ulikuwa huelewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…