Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kiukweli huku Bara hawana vichwa kabisa na hata huko Tanzania Visiwani wanatembelea nyota ya maalim Seif (RIP). Nani anawapa nguvu ya kufurukuta hawa ACT Wazalendo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu ngoja nifuatilie.Maelezo yanaweza yakawa na ukweli "kidogo".Mradi wa CCM ule,Zitto ni kibaraka chao,huwezeshwa fedha na watu na dola pia huwa nyuma yake!!!
Kwenye utawala wa raisi Samia,hata siku moja hutomuona Zitto akimkosoa Samia!!
Ipi?Ruzuku
Ya SMZIpi?
Haitoshi kufanya hizi kukurukakara wanazofanyaYa SMZ
Wanapata ruzuku kiasi gani na hizo kukuru kakara zinagharimu kiasi gani!?Haitoshi kufanya hizi kukurukakara wanazofanya
Vyama vyote vya upinzani ni mali ya rais mstaafu asiyependa kustaafu, viongozi wa ACT wanamgao wao kutoka kwa mstaafu ili kulinda enzi yake, si unajua mstaafu alichota mahela kibao enzi ya uongozi wake, hata sasa anachota japo alikutana na jiwe likaharibu vyanzo vyake vyote vya mapato, na asingefanya maarifa alishanyooshwa haswaa ila baada ya jiwe ku RIP mstaafu akaibuka upya, ameanza kurekebisha vyanzo vyote vilivyoharibiwa na mtani wake 😂Kiukweli huku bara hawana vichwa kabisa na hata huko Tanzania visiwani wnatembelea nyota ya maalim Seif (RIP) . Nani anawapa nguvu ya kufurukuta hawa Act wazalendo?
View attachment 2265642
Kuelezwa chanzo cha mapato yao ndiyo ujinga?Ungekaa chumbani umuulize mumeo.Nioko!Wewe ni mjinga
Unanijua mimi ni mama yako?Tulia upate majibu ya balimi!🤔🤔🤔🤔Nakujua vizuri. Wewe ni mjinga.
Hebu ngoja nifuatilie.Maelezo yanaweza yakawa na ukweli "kidogo".
Alifanya maarifa gani?Vyama vyote vya upinzani ni mali ya rais mstaafu asiyependa kustaafu, viongozi wa ACT wanamgao wao kutoka kwa mstaafu ili kulinda enzi yake, si unajua mstaafu alichota mahela kibao enzi ya uongozi wake, hata sasa anachota japo alikutana na jiwe likaharibu vyanzo vyake vyote vya mapato, na asingefanya maarifa alishanyooshwa haswaa ila baada ya jiwe ku RIP mstaafu akaibuka upya, ameanza kurekebisha vyanzo vyote vilivyoharibiwa na mtani wake 😂
Yawezekana ruzuku wanayopata wanaitumia vizuri kufanya mambo yao, tofauti na chadema ambao wakipata ruzuku wanashindana kuiiba.Haitoshi kufanya hizi kukurukakara wanazofanya