ACT Wazalendo hawana wanachama wengi Tanzania Bara, nani anawafadhili? Mbona harakati nyingi? Wanatoa wapi fund?

ACT Wazalendo hawana wanachama wengi Tanzania Bara, nani anawafadhili? Mbona harakati nyingi? Wanatoa wapi fund?

Honestly, hata hawa CHADEMA wenyewe sina imani kama wana nia ya dhati kulikomboa Taifa.

Wanasiasa ni Wanafiki sana. Wanavhojali ni maslahi yao tu..
 
Mwijaku ,baba levo, zitto Hawa Ni machawa wakuu wa taifa kutoka kigoma
 
Back
Top Bottom