ACT Wazalendo hawana wanachama wengi Tanzania Bara, nani anawafadhili? Mbona harakati nyingi? Wanatoa wapi fund?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Kiukweli huku Bara hawana vichwa kabisa na hata huko Tanzania Visiwani wanatembelea nyota ya maalim Seif (RIP). Nani anawapa nguvu ya kufurukuta hawa ACT Wazalendo?
 
Mradi wa CCM ule,Zitto ni kibaraka chao,huwezeshwa fedha na watu na dola pia huwa nyuma yake!!!

Kwenye utawala wa raisi Samia,hata siku moja hutomuona Zitto akimkosoa Samia!!
 
Mradi wa CCM ule,Zitto ni kibaraka chao,huwezeshwa fedha na watu na dola pia huwa nyuma yake!!!

Kwenye utawala wa raisi Samia,hata siku moja hutomuona Zitto akimkosoa Samia!!
Hebu ngoja nifuatilie.Maelezo yanaweza yakawa na ukweli "kidogo".
 
Hawa NGOGWE mpinzani wao ni CHADEMA Jana walikuwa songea,ajabu hata wananchi wa songea walikuwa wanawashangaa,wakajaribu clubhouse nako room yao ikapata watu 28,
ACT haina wanachama bali inawafuasi wa maalimu Sharif siku wakianzisha au wakihamia chama kingine watabaki na nini?
 

Attachments

  • 20220601_095538.jpg
    33 KB · Views: 8
  • 20220130_104611.jpg
    13.6 KB · Views: 7
  • 20220130_145754.jpg
    14.7 KB · Views: 8
  • 20220121_201132.jpg
    61.4 KB · Views: 8
Kiukweli huku bara hawana vichwa kabisa na hata huko Tanzania visiwani wnatembelea nyota ya maalim Seif (RIP) . Nani anawapa nguvu ya kufurukuta hawa Act wazalendo?
View attachment 2265642
Vyama vyote vya upinzani ni mali ya rais mstaafu asiyependa kustaafu, viongozi wa ACT wanamgao wao kutoka kwa mstaafu ili kulinda enzi yake, si unajua mstaafu alichota mahela kibao enzi ya uongozi wake, hata sasa anachota japo alikutana na jiwe likaharibu vyanzo vyake vyote vya mapato, na asingefanya maarifa alishanyooshwa haswaa ila baada ya jiwe ku RIP mstaafu akaibuka upya, ameanza kurekebisha vyanzo vyote vilivyoharibiwa na mtani wake πŸ˜‚
 
Huo mkoa wa selous unapatikana nchi gani?

Anyway act ni tawi la ccm kama ilivyo uvccm tofauti ni rangi za bendera tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Alifanya maarifa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…