ACT Wazalendo: Iwapo Nchimbi hataonekana hadharani ndani ya wiki moja tutaiburuza Serikali mahakamani

Nimekupata kwa makini sana aisee
 
POLEPOLE kimya!
Nchimbi naye kimya!
...... Kimya!
...... Kimya!
....... Kimya!
Kunani chukuwachakomapema?!
 
Ukishaona jambo limepanda majukwaani ujue huko chini hata ndugu wako kwenye taharuki. Nchimbi ni mwanasiasa, kujiuzuru na kufukuzwa kwake ccm ni kwa kisiasa, hivyo jambo la kisiasa lazima lishughulikiwe kisiasa. ACT kupanda juukwaani na jambo la Nchimbi ndio moja ya njia za kudeal na issues za kisiasa.
Kama serikali inafikiri issue ya nchimbi itakuwa solved kiusalama tu na sio siasa njia waliotumia sio sahihi kihivyo.
 
Huo ukweli unaupata wapi? Kwake au kwa nani? Kama ni kwake mtafute, nenda kwake na ukimkosa njoo useme kuwa nilienda kwake nilikutana na kijana wake au mlinzi nk. Ukajibiwa hivi na vile
Kwa huyo nchimbi ni bubu mpaka wewe umsemee.
 
Ndiyo maana nimesema umeshindwa jukumu hilo.

Unatupigia kabobo na abracadabra za sauti za kichwani kwako kama mganga wa ramli chonganishi tu.

Wakati mtandao wote unao tangu Oysterbay Primary.

Unaniudhi 😂
 
Come on now…..let’s not play dumb.

Hakuna 98% ya Watanzania waliompigia kura Nchimbi.

Uharamu wa Nchimbi na uharamu wa Samia hauna tofauti.

Nchimbi hakuwa makamu wa Rais halali.

Samia siyo Rais halali.

Ingependeza kuona tunapowazungumzia hao watu, tunatambua pia uharamu wao.
 
Kama ni hivyo anzeni na Nchimbi mwenyewe maana huko mnako mdai aliwapa taarifa kuwa anaachia
 
Kama ni hivyo anzeni na Nchimbi mwenyewe maana huko mnako mdai aliwapa taarifa kuwa anaachia
Tunakomdai wapi? Nani? Alitupa taarifa gani? Unahakikishaje alitupa taarifa?
 
Tunakomdai wapi? Nani? Alitupa taarifa gani? Unahakikishaje alitupa taarifa?
Nawe bogasi.Si mmesema mtaiburuza serikali mahakamani,sasa huko serikalini Nchimbi si ajiuzulu
 
Nawe bogasi.Si mmesema mtaiburuza serikali mahakamani,sasa huko serikalini Nchimbi si ajiuzulu
Sasa hapa ndiyo umeandika nini?

Hata wewe mwenyewe ukirudia kusoma unaona mtu ataelewa ulichoandika?

Kwa muandiko huu ukiniona bogasi sishangai. We are not on the same level.
 
Wakati mtandao wote unao tangu Oysterbay Primary.
Unaniudhi 😂
Ukipata tip from chanzo fiche, ukataja umethibitishiwa na chanzo fiche, ujue unaponza watu!, utaitwa kuhojiwa na salama yako ni kukitaja hicho chanzo fiche chako!, hivyo ili to protect your source, unatumia an open source ya voices from within.
Believe me Dr. Nchimbi hajazuiliwa na yeyote, bali ameamua kuwa low profile, muda muafaka ukiwadia ataibukia kanisani.

Huu ushujaa wa kuuliza maswali magumu, niliishaufanyaga, niliponyang'anywa press card yangu, na ofisi yangu kufungwa, It was just me and my family!.

Juzi kati nimesema mahali kuwa jamaa ka mind kutoshangiliwa, JAB na TCRA wakanishukia, ile online channel ikafungiwa 90 days!

Nilipoandika Bunge linajipendekeza kwa serikali, aliyeitwa Dodoma kuhojiwa na Kamati ya Bunge ni mimi, sio wasomaji wangu na sikuchangiwa hata nauli!. https://www.jamiiforums.com/threads...go-ni-ama-tuombe-mungu-atunusuru-ama.1714986/
P
 

Pole, pengine tunawapa majukumu unfairly kwa kulinganisha na hali halisi ya nyumbani.

Let me grant that you are right, for the sake of argument.

Let us explore this decision and analyse what it really means.

Nchimbi kajiuzulu, kaamua kujaa kimya.

Kama ni hivyo Nchimbi kawasaliti wananchi, halafu kamsaliti Samia pia.

Yani kwenye moto hayupo, kwenye baridi hayupo, amekuwa vuguvugu na unajua kitabu kimesemaje kuhusu uvuguvugu.

Alitakiwa ama akomae asijiuzulu, ama akubali kuwa kashakuwa chawa wa mama asingelianzisha kabisa.

Kwa sasa ni kama kauwasha mto asioweza kuu control, amejionesha mdhaifu kisiasa, kafanya kitu bila strategy, hata baada ya kuona wanaofanya kitu bila strategy kama Polepole wanaishiaje.

Yani kawa kama mtu fulani rookie wa siasa za Tanzania kataka kusema maneno apate sifa tu, bila mpango endelevu akiliwa kichwa itakuwaje.

Sasa hivi kwa kujiuzulu na kuufyata mkia kavuruga pande zote mbili.

Samia anamuona msaliti kwa sababu kaleta mambo ya wanaharakati serikalini.

Wanaharakati wenye akili (achana na Maria na kundi lake hawajui hata ku stay on the message and not to be distracted by sideshows) wanamuona msaliti kwa sababu kakubali kujiuzulu kindezi wakati angeweza kama si kupigana, angalau kuelezea upande wake watu wajue kajiuzulu kweli hajauawa.

Kwenye hoja ya kuogopa kuuawa, Nchimbi alitakiwa kuwa na bonge la insurance policy kiasi CCM wangeogopa kumdhuru. Inaonekana hana, au kama anayo, haitoshi kuwaogopesha CCM.

But I also suspect Nchimbi is not as clean and principled as many people make him out to be, ana madudu yake kibao, akajisahau kusema sana. Na ukiwa si msafi hivyo, unakosa hata nguvu za kumwaga ugali, kwa sababu unajua ukimwaga ugali, wenzako watamwaga mboga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…