PostGE2025 ACT Wazalendo, Kigoma: Baba Levo na Zitto waliongezewa kura ili zishabiiane na kura alizopata Samia

PostGE2025 ACT Wazalendo, Kigoma: Baba Levo na Zitto waliongezewa kura ili zishabiiane na kura alizopata Samia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Wananchama wa ACT Wazalendo jimbo la Kigoma Mjini wamefungua kesi kupinga matokeo yaliyompa ushindi Baba Levo, moja ya sababu ya kufungua shauri hilo ni ubabaishaji wa kutangaza matokeo mara mbili.

Awali Baba Levo alitangazwa kupata kura 35, 725 naZitto Kabwe kupata kura 16,619, baadaye baada ya kuchakachua kura za Urais na Samia kupata kura 85,000, Baba Levo aliongezewa kura hadi 50,000 na Zitto Kabwe kupewa 35,000

 
Baba levo analo naona kuna watu wanaenda kuondolewa bungeni kwa njia ya mahakama.
 
Hii sio habari kwa sasa..na mkome kushupaza shingo ni Zambarau..shubamiti zenu
 
Back
Top Bottom