ACT–Wazalendo waichambua Ripoti ya CAG - Aprili 11, 2021

ACT–Wazalendo waichambua Ripoti ya CAG - Aprili 11, 2021

As long as ACT-Wazalendo (na wafadhili wao) wanalipia airtime, TV stations hazina shida now that Jiwe hayupo. Time to do business and make some money!
 
Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya ACT-Wazalendo UDSM ambapo wamearifu uchambuzi huo utaanza saa sita kamili mchana wa leo.
Ingekuwa enzi za magufuli na ukatili wake, izo station ITV na Azam wasingempa airtime Zitto,,,,,,,kwakweli magufuli aliturudisha enzi za ukoloni,,,ashukuriwe MUNGU kwa kutugomboa jaman
 
Moja ya zawadi kubwa na ya pekee aliyonijalia Mwenyezi Mungu mpaka leo hii ni kunijalia uhai kuishi kushuhudia utawala wa Magufuli ukifika mwisho, na kushuhudia Tanzania mpya bila ya Magufuli .

Asante Mungu kwa Zawadi hii.
atakuwa hewani saa ngapi zitto,
 
Back
Top Bottom