PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Moderator watuwekee highlights za hotuba kwasabb kutazama LIVE hotuba nzima ni anasa Kwa maisha ya yetu...
ndugulile katuingiza chaka Kwenye bando
ndugulile katuingiza chaka Kwenye bando
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuchambua ripoti ya CAG ni ujinga?Mwenda zake angekuwepo asinge kubali huu ujinga.
Dah, you are tryng to connect some events,anyway InshaaalahIla naomba msinielewe vibaya.
Jana Asad aliongea na leo Zitto anaongea, mbona kama hapa kuna kaharufu flani ka Ijumaa?
Sikushangaa Maalim kujiunga na ACT pia sio jambo la ajabu Asadi nae punde au next election akawa mgombea wa ACT nafasi ya Urahis.
Naomba mnisamehe kwa mawazo yangu kwani msiba umenichanganya
I wish siku zote wapokezane tu kuongea,yaan kila siku waongee had Mwenda zake asikie.Zitto mbona anakanyaga waya, leo siku ya mwenyekiti.
Teh ikibidi spika zifungwe pale kwenye lile funiko la kuslaidi asikie tu kwakweliI wish siku zote wapokezane tu kuongea,yaan kila siku waongee had Mwenda zake asikie.
Kweli asee jamaa anapiga nyoka kichwaniwajomba wamemkatia sauti. hahaha ngoja tuone..
Ohoo😀😀😀Naona ITV wapigiwa simu kutoka juu, wamemtoa Zitto [emoji28][emoji28][emoji28]
Naona ITV wamekatisha matangazo
Haya makitu mpaka lini?Naona ITV wapigiwa simu kutoka juu, wamemtoa Zitto [emoji28][emoji28][emoji28]
Acha udini mkuuIla naomba msinielewe vibaya.
Jana Asad aliongea na leo Zitto anaongea, mbona kama hapa kuna kaharufu flani ka Ijumaa?
Sikushangaa Maalim kujiunga na ACT pia sio jambo la ajabu Asadi nae punde au next election akawa mgombea wa ACT nafasi ya Urahis.
Naomba mnisamehe kwa mawazo yangu kwani msiba umenichanganya
Aisee ungesubiri kwanza kipindi kiishe ndio uandike hii comment yako.Media zinaanza kufunguka zama za uoga uoga zimekwisha hivi Azam wangeweza kuchambua Ripoti hii waziwazi wakati wa Mwenda