ACT–Wazalendo waichambua Ripoti ya CAG - Aprili 11, 2021

ACT–Wazalendo waichambua Ripoti ya CAG - Aprili 11, 2021

Moja ya zawadi kubwa na ya pekee aliyonijalia Mwenyezi Mungu mpaka leo hii ni kunijalia uhai kuishi kushuhudia utawala wa Magufuli ukifika mwisho, na kushuhudia Tanzania mpya bila ya Magufuli .

Asante Mungu kwa Zawadi hii.
Mnamlaumu sana magu Lakini mnamsahau mwalimu wake Paul kagame
 
... vichwa kama hivi badala ya kuwa ndio vinatuwakilisha bungeni yanaingizwa matakataka gani sijui! Hii nchi inakula hasara kwa kweli!
 
Angekuwepo yule mzee wa visasi, hao ITV wangekifunga hicho kituo chao mara tu baada ya hilo tukio! Wanapata wapi nguvu za kurusha au kutangaza taatifa za wapinzani?

Enzi hizo vituo vyote vilitakiwa kusifia, kupongeza, kutukuza na kurusha taarifa nzuri tu za kumhusu mzee na sirikali yake tu.
Daa maisha yanaenda kasi sana kwel jiwe tumeumia mnoo!!!! Sasa ni wakat wa pumziko!!!
 
Kumbe miradi ya umeme wa gesi waliyoipotezea ina uwezo wa kuzalisha umeme mwingi kuliko ule wa Nyerere Dam!! Kama ni kweli basi maajabu haya
Si kuzalisha tu ila unazalisha kwa gharama kiasi gani? Mbona anakwepa kuzungumzia gharama za kualisha huo umeme wanaoupigia debe.
 
Asante na hongera kwa uchambuz huru na nzuri, kwakua n report yangu ya kwanza kuisoma na kuifatlia ngoja nirud nyuma nkasome na report za miaka iliopta kwa viongoz waliopta niangalie pia uwozo wao, maana kila Rais kaliacha taifa hili na matatizo ya aina yake, ila tu uzur au ubaya wengne tulkua bado hatuna macho na akir ya kufatilia mambo haya
 
Miaka yote Zitto huwa anachambua Report ya CAG na anabamiza kweli kweli, sehemu kubwa ya umaarufu wa Zitto imetokana na uchambuzi wake wa report hii na kama Serikal ya Jk ilichafuka basi ilitokana na uchambuzi wa Zitto kwny reports hizi wakati wa Ludovick Uttoh kama CAG na Zitto kama Mwenyekiti wa PAC

Reports za CAG wakati wa Jk zilikuwa zinapelekea Mawaziri kutemwa

Hata Mwakani tutaoneshwa madudu mengi ya Utawala wa Samia,

Tatizo sio reports za CAG, tatizo ni mstuko unaotokana na Imani tuliyokuwa tumejenga kwa Hayati kuwa katokomeza Ufisadi ndio maana kila taarifa ya Ufisadi tunaona kama imelenga kumchafua
Ni kweli baada ya Zitto kuwa nje ya Bunge nilijiuliza Nani wa kutuchambulia ripoti ya CAG kwa kina... Nafurahi amefanya hivyo hata akiwa nje ya Bunge japo angekuwa bungeni wabunge wengi wa ccm wangefunguka ubongo.
 
Kwenye hoja ya bomba la gesi kujengwa kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam wabunge wengi walipinga akiwezo zitto, kumbukumbu zangu zilitokea vurugu 2013,leo kwenye uchambuzi wao kuhusu repoti ya CAG wanaunga hoja,Wana siasa acheni unafiki na mnakula matapishi yenu!
 
Back
Top Bottom