ACT–Wazalendo waichambua Ripoti ya CAG - Aprili 11, 2021

Moja ya zawadi kubwa na ya pekee aliyonijalia Mwenyezi Mungu mpaka leo hii ni kunijalia uhai kuishi kushuhudia utawala wa Magufuli ukifika mwisho, na kushuhudia Tanzania mpya bila ya Magufuli .

Asante Mungu kwa Zawadi hii.
Mnamlaumu sana magu Lakini mnamsahau mwalimu wake Paul kagame
 
... vichwa kama hivi badala ya kuwa ndio vinatuwakilisha bungeni yanaingizwa matakataka gani sijui! Hii nchi inakula hasara kwa kweli!
 
Daa maisha yanaenda kasi sana kwel jiwe tumeumia mnoo!!!! Sasa ni wakat wa pumziko!!!
 
Kumbe miradi ya umeme wa gesi waliyoipotezea ina uwezo wa kuzalisha umeme mwingi kuliko ule wa Nyerere Dam!! Kama ni kweli basi maajabu haya
Si kuzalisha tu ila unazalisha kwa gharama kiasi gani? Mbona anakwepa kuzungumzia gharama za kualisha huo umeme wanaoupigia debe.
 
Asante na hongera kwa uchambuz huru na nzuri, kwakua n report yangu ya kwanza kuisoma na kuifatlia ngoja nirud nyuma nkasome na report za miaka iliopta kwa viongoz waliopta niangalie pia uwozo wao, maana kila Rais kaliacha taifa hili na matatizo ya aina yake, ila tu uzur au ubaya wengne tulkua bado hatuna macho na akir ya kufatilia mambo haya
 
Ni kweli baada ya Zitto kuwa nje ya Bunge nilijiuliza Nani wa kutuchambulia ripoti ya CAG kwa kina... Nafurahi amefanya hivyo hata akiwa nje ya Bunge japo angekuwa bungeni wabunge wengi wa ccm wangefunguka ubongo.
 
Kwenye hoja ya bomba la gesi kujengwa kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam wabunge wengi walipinga akiwezo zitto, kumbukumbu zangu zilitokea vurugu 2013,leo kwenye uchambuzi wao kuhusu repoti ya CAG wanaunga hoja,Wana siasa acheni unafiki na mnakula matapishi yenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…