Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

Duh,chama wa simba ameshikwa pabaya.anatafuta pakutokea.

Huu mwaka wanalo.ujinga wao wa waziwazi sasa nyamera wananjia nyingi kufanya korabo.
Watulie sindano ya nyati iwaingie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…