Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ACT wana wana akili kubwa mno
Safi sana ACT. Mataga lazima watage mwaka huu😂😂😂😂😂
Kiki hizi
CCM wao wapo juu ya sheria
Mna cha kuwapa? Mkono mtupu haulambwiHawa NEC siyo wa kuwachekea. Ni mda muafaka wa ku alert jumuiya ya kimataifa huu uchafu unaoendelea
Kosa lipo wapi?Nna shangaaa...View attachment 1579232
Si mna bebru wenu Amsterdam ana wawakilisha?Hawa NEC siyo wa kuwachekea. Ni mda muafaka wa ku alert jumuiya ya kimataifa huu uchafu unaoendelea
Akikujibu juu ya hili bango unitagNna shangaaa...View attachment 1579232
Uonevu wa NEC, Msajili wa vyama vya Siasa na Serikali ya Magufuli na vyombo vyake kila usiku unazidi kuongeza idadi ya kura za Tundu Antiphas Lissu kwa namna ya kutisha saaaaana!!!!Nna shangaaa...View attachment 1579232