Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

Yaani nimekielewa vzr mno mkuu

1. Kwamba mwenyekiti wa ACT aweza kuwa na matakwa binafsi yasiyowakilisha chama.

2. Aweza kumchagua yeyote. Ndio
3. Kuwa hakuna kikao cha ACT kimewahi kutangaza kuwa na umoja au kuungana na CDM . Safiii

4. Issue ina kuja kujibu barua ambayo sasa ni ya kiofisi. Na imethibitisha pasipo shaka kuwa wao hawana shaka na TL kuwa mshindi.
Kwanini wasingejibu inshort kuwa hawajaungana na clip hiyo ni maoni binafsi ya aliyeyasema?
Huyo kilaza msajili anastahili ufafanuzi kama ilivyo kwenye barua. Licha ya clip naambatanisha kifungu 11A kwa faida yako
FB_IMG_1600952378168.jpg
 
Mwenyekiti wa ACT bado ni mwananchi wa kawaida ana haki ya kuwa na maoni binafsi ya kisiasa.

Sasa Mkurugenzi awaachie ACT wenyewe waamue kama Mwenyekiti wao amekikosea chama au la, Lakini siyo kazi ya msajili kuzuia mwananchi kutoa maoni ya kisiasa.

Hivi ni lini Mrema amewahi kuandika barua kwa msajili kumjulisha kuwa TLP itaiunga mkono CCM kwenye uchaguzi huu?

Na ni lini na kwenye kikao gani kumewahi kuwepo kukubaliana kuhusu coalition kati ya TLP na CCM kwa mujibu wa sheria mpya ya vyama vya siasa?

Mbona Mrema na chama chake wanamuunga mkono Magufuli na Msajili hajawahi kuiandikia barua TLP kuhusu hilo?
Double Standards wazi wazi
Ila watu wanaona
 
Mimi labda nijulishwe na kuelimishwa...

Hivi kama ikitokea mtahiniwa kwenye chumba cha mtihani mwenyewe kwa makusudi ama kwa bahati mbaya akaamua kuandika ama kutumia jina lisilo official na ambalo hajajiandikisha nalo kufanyia mtihani hasara itakuwa ya nani?

Mbona NEC na Msajili wanaanza kuonyesha upendo wa ghafla na wa ajabu kidogo kwa CHADEMA na ACT - WAZALENDO kwa kujifanya kuwakumbusha "kisheria" kuwa wanapaswa kujiombea kura wao na siyo huyu kumuunga mkono na kumwombea kura yule wa chama kingine?...

Si wamwaache ili ashindwe kwa ujinga wake kupata kura kwa sababu yeye mwenyewe kaamua kumuunga mkono na kumwombea kura mpinzani wake badala ya kujiombea yeye tu???

Kwani kama mgombea wa CHADEMA ama wa ACT - WAZALENDO atafika mahali ktk kampeni zake akaacha kujiombea kura yeye na kuanza kumwombea mgombea wa chama kingine ni hasara ya NEC na Msajili au ya mgombea mwenyewe?

NEC na Msajili waacheni watu wapige kampeni. Atakayeeleweka kwa wapiga kura, basically, huyo ndiye atapewa kura. Tatizo lenu NEC na Msajili wa vyama vya siasa ni nini kwani?
 
Huyo msajili Watanzania wa sasa sio wa 2015..Cheyo kampigia debe Magu likakaa kimya..utawekwa kwenye orodha ya The Hague acha mchezo..
 
Walisema upinzani mara hii uchaguzi hawatakuwa na la kusema juu ya maendeleo aliyoleta jiwe lakini upepo umegeuka Lissu anapasua anga vibayaa sana, wacha waombe pooo, issue ya kiwanja cha ndege tu cha chato hadi sasa imetaradadi watanzania kuona jiwe ni jiwe.

Kibaya zaidi ata october haijafika
 
Walichoandika sio utetezi ni kukubali kosa na kuongeza kosa lingine .Kura ndio huamua nani atashinda !! Sio imani!!! Eti tunaamini Lisu atashinda!! Sababu ya umati unaojaa mikutano yake ya kampeni!! Aisee !!!!!!

Jamani hizi ofisi za vyama havina watu makini

Yaani barua wanaandika kwa msajili ya kumnadi Lisu serious? Mgombea wao Membe waliyemchagua wenyewe kupitia vikao halali vya chama wamempeleka wapi kwa kikao kipi ? kama wamemuondoa ugombea na Ku mu replace na Lisu kikao gani cha vyama cha kikatiba kiliamua hayo?

Msajili hiyo barua ni ushahidi tosha hata clip ukiitupa jalalani haina shida hiyo barua ni official letter Ku confirm kuwa wao wana mnadi Lisu bila idhini ya kamati kuu ,mkutano mkuu wao wala taarifa ya kumuengua Membe kutoka Tume ya uchaguzi

Hiyo barua ni ushahidi tosha wa jinsi Act inavyoendeshwa kienyeji
Maelezo hayo yanatakiwa tu kufanyiwa uamuzi wamekiri na ni kama wanasema come what may!!

Uandishi huo wa barua ni uswahilini hasa
Peleka uchafu wako huko, nyie mbona mmeungana na TLP?
 
Mtaongea propaganda zote mwaka huu. Lissu kawashika pabaya saaaaana 😂😂😂😂
Jomba unachekesha..Lissu na lowasa Nani ni zaidi..ukijiuliza hapo tu nadhani utapata majibu ya Octoba 28..unadhani watanzania wajinga..labda mtengeneze kura zenu mjipigie wenyewe..na waume zenu....chama tu kimewashinda mtaweza nchi...hahahhaja....mnaona watu wanakuja kuwasanifu kwenye mikutano mnadhani mko nao..kwa kipi hasa mlichowafanyia..wakati wa janga la korona mliwakimbia Wala hamkutaka kuwasemea Mambo yao ya maendeleo..bungeni...nini hasa mmewafanyia wananchi ili wawaamini kuwapa kura...au mnataka tu mpate kula...hahahah jomba..Bora mkatafute kazi ya kufanya lakini sio siasa...mwenzenu kule keshafukuzwa na wanasheria nguli kwa kumgundua kumbe ni chizi..bado huyo kijana wenu wanaendelea kum study ngoja tusubiri majibu...inaonekana nayeye dishi limecheza...upo..!
 
Yaani unafananisha shujaa aliyeponywa risasi 16 na Mungu na huyo utopolo wako lowassa aliyekuwa anasema peoples tu alafu anakaa????

Kweli lumumba mna hali mbaya😂😂😂
 
Walisema upinzani mara hii uchaguzi hawatakuwa na la kusema juu ya maendeleo aliyoleta jiwe lakini upepo umegeuka Lissu anapasua anga vibayaa sana, wacha waombe pooo, issue ya kiwanja cha ndege tu cha chato hadi sasa imetaradadi watanzania kuona jiwe ni jiwe.

Kibaya zaidi ata october haijafika
Jomba una ushahidi upi kuonyesha anapasua anga..naomba baada ya Octoba 28 uje hapa utuonyeshe hiyo anga aliyopasua ni ipi ya mbinguni au mawinguni. Hehehe..mnajipa moyoooo baadae matokeo yakishatoka mnaanza kutukanana hukohuko. Usicheze na watanzania jomba wanna akili kuliko ujuavyo..Muulize Mangi Kimave akuelezee
 
Yaani unafananisha shujaa aliyeponywa risasi 16 na Mungu na huyo utopolo wako lowassa aliyekuwa anasema peoples tu alafu anakaa????

Kweli lumumba mna hali mbaya😂😂😂
Hehehee si alikuwaga shujaa wenu kwenye Safari ile ya matumaini wakati ule..yaani mshasahau....Leo mmemgeuka..Sasa gwiji was siasa Kama Lowasa utamfananisha na Lissu.kivipi..unaanzaje..na ndio maana mlimpokea na mbwembwe kibao mliona Mungu yupo upande wenu kumbe wapiii...kupitia kwake wenye kufanya dili zao wamefanya waliotajirika wametajirika nyinyi mmeachwa solemba hata hamjui kilichoendelea..mnatia uruma komba honestly
 
Lowassa gwiji la siasa kivipi kilaza wewe??? Mtasema propaganda zote mwaka huu ila watanzania wa 2020 sio wa 1947! Jiandaeni tu kuwa wapinzani 2020-2025
 
Lowassa gwiji la siasa kivipi kilaza wewe??? Mtasema propaganda zote mwaka huu ila watanzania wa 2020 sio wa 1947! Jiandaeni tu kuwa wapinzani 2020-2025
Kwani lowasa alivyokuwa chadema mlikuwa mnamuitaje..hahaha..mlikuwa mnamuita mpaka fisadi lakini baadae mkaufyata..mkasema mlikuwa mnafanya siasa tu sio kweli..hahahaha..mkasababisha wakina Dr Slaa na Lipumba kuishia zao mkabaki mmepigwa na butwaa. Eti leo mnataka mumfananishe lowasa na lisuu..khaaaaa....stupidddy
 
Jibu swali langu, Lowassa gwiji la siasa kivipi???
 
Jomba una ushahidi upi kuonyesha anapasua anga..naomba baada ya Octoba 28 uje hapa utuonyeshe hiyo anga aliyopasua ni ipi ya mbinguni au mawinguni. Hehehe..mnajipa moyoooo baadae matokeo yakishatoka mnaanza kutukanana hukohuko. Usicheze na watanzania jomba wanna akili kuliko ujuavyo..Muulize Mangi Kimave akuelezee

usiishi kwa mazoea this time ni tofauti na miaka mengine iliyopita kumbuka mapambano yanakuja kwa hali yeyote iliyopangwa kufanyika kinyume na uchaguzi huru na haki
 
Back
Top Bottom