ACT Wazalendo wakamata Kura Feki uchaguzi Mdogo Kata ya Kasingirima Kigoma zikiwa zimepigwa kwa Mgombea wa CCM

Kwani hizi propaganda za chadema bado zipo hai mpaka leo hii zinatumika!
 
Kama SAMIA awezi kupata hata kura laki 3 ila ndiyo hivyo anajua njia chafu anayokwenda kutumia ili kujibakisha madalakani kwa faida yake na wahuni wenzake
 
Tume Huru ya Uchaguzi
😂😂😂
 
Ccm haiwezi kushinda uchaguzi wa aina yoyote ikiwa Kura zitaenda kama zilivyopigwa.

Wanasema wanajenga Nchi wakati hata uchaguzi wa Kata hawawezi kushinda
 
Hawana zaidi ya kuiba mzee,Hv unadhani nani anawataka CCM ktk nchi, waliobaki wanaimba CCM ni wale tu wasio na akili timamu tu.Tambua kwamba kwa mtu yeyote anayejali maisha yake,ya watoto wake ,na ya ndugu zake hawazi kushabikia CCM hata kidogo.Maisha ya watanzania ni magumu kwelikweli na sio kwa sababu Eti hawafanyi kazi ila kwa sababu chama kinacho ongoza serikali kimechoka mpaka mwisho na kiko hoi bin taaban.
 
Petrol isipo pata cheche itabaki hivyo hivyo bila kulipuka ...tatizo ni nani wa kuchukua nchi baada ya ccm ...ukitizama upinzani wamejaa watu wapumbavu kama ccm
Usifikiri hivyo... Wezi huwa wanafikiri wenzao pia wanatabia kama zao mpaka pale wanapogundua wizi haukuwahi kuwasaidia na wenzao wanaishi maisha bora. Hatutaki wapinzani wapewe nchi kama hisani. Tunataka wachukue nchi kwenye mazingira ambayo hawaibiwi kura. Siyo mnaiba mnasema hatuwapi nchi. Hiyo haiwasaidii
 
Shetani hawezi kuacha ushetani wake milele!
Ni mambo ya aibu sana sana kwa CCM
CCM ni vyema mkaachana na huu ushetani wenu!
 
Wewe unataka hivyo ila nilicho sema mimi ni hiki chakula kilichopo mezani ni kinyesi hivyo kunawa mikono ili ukale kinyesi kuna mantiki gani ...watz atutaki tu upinzani ushike nchi na kuwa ccm b lengo la wananchi ni kupata viongozi wazalendo wenye akili ya kuongoza na hao viongozi wa namna hiyo kwa sasa hata upinzani awapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…