ACT Wazalendo wakamata Kura Feki uchaguzi Mdogo Kata ya Kasingirima Kigoma zikiwa zimepigwa kwa Mgombea wa CCM

Kwenye Official Account yao ya X (Zamani twitter) ACT Wazalendo wamethibitisha kukamata kura hizo, na Kusema bado wanaendelea kuchukua Hatua stahiki ikiwa wao ni Moja ya vyama Shiriki kwenye Uchaguzi huo..

"Kura fake zimekamatwa zikiwa zinaingizwa kwenye vituo vya kupigia kura Katika Kata ya Kasingirima Kigoma. Kura hizo zimetiwa alama ya vema kwenye kiboksi cha mgombea wa CCM. ACT Wazalendo tumeshiriki uchaguzi huo".
View attachment 2940178

View attachment 2940179View attachment 2940180View attachment 2940181View attachment 2940182

View attachment 2940187
Kwani hizi propaganda za chadema bado zipo hai mpaka leo hii zinatumika!
 
Kama SAMIA awezi kupata hata kura laki 3 ila ndiyo hivyo anajua njia chafu anayokwenda kutumia ili kujibakisha madalakani kwa faida yake na wahuni wenzake
 
Kwenye Official Account yao ya X (Zamani twitter) ACT Wazalendo wamethibitisha kukamata kura hizo, na Kusema bado wanaendelea kuchukua Hatua stahiki ikiwa wao ni Moja ya vyama Shiriki kwenye Uchaguzi huo..

"Kura fake zimekamatwa zikiwa zinaingizwa kwenye vituo vya kupigia kura Katika Kata ya Kasingirima Kigoma. Kura hizo zimetiwa alama ya vema kwenye kiboksi cha mgombea wa CCM. ACT Wazalendo tumeshiriki uchaguzi huo".
View attachment 2940178

View attachment 2940179View attachment 2940180View attachment 2940181View attachment 2940182

View attachment 2940187
Tume Huru ya Uchaguzi
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Ccm haiwezi kushinda uchaguzi wa aina yoyote ikiwa Kura zitaenda kama zilivyopigwa.

Wanasema wanajenga Nchi wakati hata uchaguzi wa Kata hawawezi kushinda
 
Hakika ni AIBU KUBWA kwa Chama kikubwa na kikongwe Afrika CCM kukamatwa na KURA FAKE zikiwa zimewekwa Alama ya TICK kwa MGOMBEA wake.Kama Mtakumbuka MAKAMU MWENYEKITI wa CCM mh.KINANA alijinasibu kuwa Mh.RAIS SAMIA Ameahidi UCHAGUZI wa Serikali za Mitaa wa 2024 na UCHAGUZI MKUU wa 2025 utakuwa HURU na HAKI hivyo WADAU wa UCHAGUZI waondoe HOFU waliyokuwa nayo ktk UCHAGUZI wa 2019 na UCHAGUZI MKUU wa 2020.
Binafsi naamini CCM inatest MITAMBO yake ya WIZI wa KURA utakavyokuwa 2024 na 2025 hivyo WATANZANIA Tutarajie yale yale Yaliyotokea Wakati wa UCHAGUZI wa SERIKALI za Mitaa 2019 na UCHAGUZI MKUU wa 2020 uliosababisha HOFU KUBWA WAPINZANI Kukamatwa na Kufunguliwa KESI za MAUAJI UTAKATISHAJI PESA UGAIDI na UHUJUMU UCHUMI na SERIKALI ya Rais MAGUFULI.
Hawana zaidi ya kuiba mzee,Hv unadhani nani anawataka CCM ktk nchi, waliobaki wanaimba CCM ni wale tu wasio na akili timamu tu.Tambua kwamba kwa mtu yeyote anayejali maisha yake,ya watoto wake ,na ya ndugu zake hawazi kushabikia CCM hata kidogo.Maisha ya watanzania ni magumu kwelikweli na sio kwa sababu Eti hawafanyi kazi ila kwa sababu chama kinacho ongoza serikali kimechoka mpaka mwisho na kiko hoi bin taaban.
 
Petrol isipo pata cheche itabaki hivyo hivyo bila kulipuka ...tatizo ni nani wa kuchukua nchi baada ya ccm ...ukitizama upinzani wamejaa watu wapumbavu kama ccm
Usifikiri hivyo... Wezi huwa wanafikiri wenzao pia wanatabia kama zao mpaka pale wanapogundua wizi haukuwahi kuwasaidia na wenzao wanaishi maisha bora. Hatutaki wapinzani wapewe nchi kama hisani. Tunataka wachukue nchi kwenye mazingira ambayo hawaibiwi kura. Siyo mnaiba mnasema hatuwapi nchi. Hiyo haiwasaidii
 
Shetani hawezi kuacha ushetani wake milele!
Ni mambo ya aibu sana sana kwa CCM
CCM ni vyema mkaachana na huu ushetani wenu!
 
Usifikiri hivyo... Wezi huwa wanafikiri wenzao pia wanatabia kama zao mpaka pale wanapogundua wizi haukuwahi kuwasaidia na wenzao wanaishi maisha bora. Hatutaki wapinzani wapewe nchi kama hisani. Tunataka wachukue nchi kwenye mazingira ambayo hawaibiwi kura. Siyo mnaiba mnasema hatuwapi nchi. Hiyo haiwasaidii
Wewe unataka hivyo ila nilicho sema mimi ni hiki chakula kilichopo mezani ni kinyesi hivyo kunawa mikono ili ukale kinyesi kuna mantiki gani ...watz atutaki tu upinzani ushike nchi na kuwa ccm b lengo la wananchi ni kupata viongozi wazalendo wenye akili ya kuongoza na hao viongozi wa namna hiyo kwa sasa hata upinzani awapo
 
Back
Top Bottom