ACT Wazalendo wakamata Kura Feki uchaguzi Mdogo Kata ya Kasingirima Kigoma zikiwa zimepigwa kwa Mgombea wa CCM

Hakika ni AIBU KUBWA kwa Chama kikubwa na kikongwe Afrika CCM kukamatwa na KURA FAKE zikiwa zimewekwa Alama ya TICK kwa MGOMBEA wake.

Kama Mtakumbuka MAKAMU MWENYEKITI wa CCM mh.KINANA alijinasibu kuwa Mh.RAIS SAMIA Ameahidi UCHAGUZI wa Serikali za Mitaa wa 2024 na UCHAGUZI MKUU wa 2025 utakuwa HURU na HAKI hivyo WADAU wa UCHAGUZI waondoe HOFU waliyokuwa nayo ktk UCHAGUZI wa 2019 na UCHAGUZI MKUU wa 2020.

Binafsi naamini CCM inatest MITAMBO yake ya WIZI wa KURA utakavyokuwa 2024 na 2025 hivyo WATANZANIA Tutarajie yale yale Yaliyotokea Wakati wa UCHAGUZI wa SERIKALI za Mitaa 2019 na UCHAGUZI MKUU wa 2020 uliosababisha HOFU KUBWA WAPINZANI Kukamatwa na Kufunguliwa KESI za MAUAJI UTAKATISHAJI PESA UGAIDI na UHUJUMU UCHUMI na SERIKALI ya Rais MAGUFULI.
Sasa mzee unashauri wapiga kura wafanye nini kuondoa hiki chama kinacho tawala kwa wizi na shuruti kinyume na matakwa yao?

Halafu kuna timu chawa akina Lucas mwashambwa watakwambia chama chao kinakubalika na kupendwa sana na kila mwananchi!!!
 
jamaa alitakiwa aache ufala waliokuwa wanataka kufanya halafu awaondoe kibabe nchi aiongoze kijeshi kwa muda wa miaka miwili achukue rasimu ya warioba iwe katiba halafu awaachie kinyanganyiro uchaguzi wachuane free and fair election.

Hakika angeacha legacy kuliko hata Mwl. Nyerere
Dah..
Umewaza vizuri broo.
Angeacha waboronge kwa kuvunja Katiba halafu awapige pini kibabe, na angeungwa mkono sana tu
 
Ona aibu kama hii! Hadi kina mama wanawashangaa kwa wizi!
Kwani lazima nyie mshinde hata kama hamtakiwi?

Hii ni huko Ujiji kigoma uchaguzi mdogo wa diwani, kumbe ndio maana hamtaki Katiba mpya wala Tume huru ya uchaguzi.

Kibinadamu mtu kuitwa mwizi ni aibu, basi nanyi oneni aibu kuitwa wezi tena ndani ya mwezi huu ambao waumini wa dini zote wako mko kwenye mfungo.

View attachment 2940800

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Wananchi wanajaa hisia potofu tu, wanapayuka tu, ovyo ovyo!
 
Kwenye Official Account yao ya X (Zamani twitter) ACT Wazalendo wamethibitisha kukamata kura hizo, na Kusema bado wanaendelea kuchukua Hatua stahiki ikiwa wao ni Moja ya vyama Shiriki kwenye Uchaguzi huo..

"Kura fake zimekamatwa zikiwa zinaingizwa kwenye vituo vya kupigia kura Katika Kata ya Kasingirima Kigoma. Kura hizo zimetiwa alama ya vema kwenye kiboksi cha mgombea wa CCM. ACT Wazalendo tumeshiriki uchaguzi huo".

View attachment 2940178

View attachment 2940179View attachment 2940180View attachment 2940181View attachment 2940182

View attachment 2940187
Imenikumbusha mbaali Sana.
ACT Wazalendo wana Siasa za Shule sana. Yaani kuna avitabu vinagawiwa kwa ajili ya Kutoa elimu kwa Wapiga kura. Wao wamekuwa Wakiviandaa Vitabu hivyo kama
Kura Feki ili tu kuendelea kutengeneza Imani kwa Wananchi kuwa hawakushindwa kihalali. Hii Siasa za Mchongo Abdul Nondo amefundishwa na Zitto Kabwe. Hii ni Mbadala wa Siasa zao za kutetea udhaifu wao. Ila Hongera zao kuliko hao Wanaojificha chini ya kivuli chao.
 
Duh 🙄 !
Hatoki mtu hapa leo 😅😅🙏🙏
Huo ni uchaguzi mdogo tu !
Je ule mkubwa ??!😱
 
Hakika ni AIBU KUBWA kwa Chama kikubwa na kikongwe Afrika CCM kukamatwa na KURA FAKE zikiwa zimewekwa Alama ya TICK kwa MGOMBEA wake.

Kama Mtakumbuka MAKAMU MWENYEKITI wa CCM mh.KINANA alijinasibu kuwa Mh.RAIS SAMIA Ameahidi UCHAGUZI wa Serikali za Mitaa wa 2024 na UCHAGUZI MKUU wa 2025 utakuwa HURU na HAKI hivyo WADAU wa UCHAGUZI waondoe HOFU waliyokuwa nayo ktk UCHAGUZI wa 2019 na UCHAGUZI MKUU wa 2020.

Binafsi naamini CCM inatest MITAMBO yake ya WIZI wa KURA utakavyokuwa 2024 na 2025 hivyo WATANZANIA Tutarajie yale yale Yaliyotokea Wakati wa UCHAGUZI wa SERIKALI za Mitaa 2019 na UCHAGUZI MKUU wa 2020 uliosababisha HOFU KUBWA WAPINZANI Kukamatwa na Kufunguliwa KESI za MAUAJI UTAKATISHAJI PESA UGAIDI na UHUJUMU UCHUMI na SERIKALI ya Rais MAGUFULI.
Eti mitambo inatestiwa 😅😅 duh 🙄 !
 
Imenikumbusha mbaali Sana.
ACT Wazalendo wana Siasa za Shule sana. Yaani kuna avitabu vinagawiwa kwa ajili ya Kutoa elimu kwa Wapiga kura. Wao wamekuwa Wakiviandaa Vitabu hivyo kama
Kura Feki ili tu kuendelea kutengeneza Imani kwa Wananchi kuwa hawakushindwa kihalali. Hii Siasa za Mchongo Abdul Nondo amefundishwa na Zitto Kabwe. Hii ni Mbadala wa Siasa zao za kutetea udhaifu wao. Ila Hongera zao kuliko hao Wanaojificha chini ya kivuli chao.
Kwani kuna Ulazima gani vitabu hivyo vifanane na Kura halisi..

Kwanini Wasiweke katuni au vitu visivyo sahihi au hata Uhalisia wa wapiga kura usionekane kwenye Picha hizo?
 
Kwenye Official Account yao ya X (Zamani twitter) ACT Wazalendo wamethibitisha kukamata kura hizo, na Kusema bado wanaendelea kuchukua Hatua stahiki ikiwa wao ni Moja ya vyama Shiriki kwenye Uchaguzi huo..

"Kura fake zimekamatwa zikiwa zinaingizwa kwenye vituo vya kupigia kura Katika Kata ya Kasingirima Kigoma. Kura hizo zimetiwa alama ya vema kwenye kiboksi cha mgombea wa CCM. ACT Wazalendo tumeshiriki uchaguzi huo".

View attachment 2940178

View attachment 2940179View attachment 2940180View attachment 2940181View attachment 2940182

View attachment 2940187
Walijua bado jiwe yupo? Wazee wakuiba kura wajipange
 
CHADEMA wametolea macho ruzuku huoni za cov 19 wanakomba hawawezi susa!
Tulishakufafanulia kwamba Viti maalum havileti ruzuku Kwa Chama chochote. Unatumia kanuni gani kulazimisha ujinga huu wewe Mbumbumbu?
 
Back
Top Bottom