pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Kamwe hawawezi kuchukuliana hatua kwani ndivyo ilivyo ccm nchi nzima!Arafu hatusikii chochote juu ya walio foji hizo kula wala kushitakiwa wala kufungwa wala msajili wa vyama kukifuta chama chenye kufanya huo uhuni
CCM huwa hawashindi bali huwa wanapora kwa kura za kishetani