pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Kamwe hawawezi kuchukuliana hatua kwani ndivyo ilivyo ccm nchi nzima!Arafu hatusikii chochote juu ya walio foji hizo kula wala kushitakiwa wala kufungwa wala msajili wa vyama kukifuta chama chenye kufanya huo uhuni
Hata huko online kama wasimamizi ni hao hao NEC hakuna usalama. Watamtangaza ccm kuwa mshindi kata kama kapata kura 1, yaani ya kwake pekeeDah yaani ni bora Watu tupige kura Online
Sasa hapo asiekubalika ni Mama au huyo Diwani mtalajiwa alieletwa na CCM?MNASEMA MAMA ANAKUBALIKA NA WANANCHI WOTE SASA KURA FEKI ZA NINI KAMA SIO UJINGA NA UPUMBAVU
Sasa mzee unashauri wapiga kura wafanye nini kuondoa hiki chama kinacho tawala kwa wizi na shuruti kinyume na matakwa yao?Hakika ni AIBU KUBWA kwa Chama kikubwa na kikongwe Afrika CCM kukamatwa na KURA FAKE zikiwa zimewekwa Alama ya TICK kwa MGOMBEA wake.
Kama Mtakumbuka MAKAMU MWENYEKITI wa CCM mh.KINANA alijinasibu kuwa Mh.RAIS SAMIA Ameahidi UCHAGUZI wa Serikali za Mitaa wa 2024 na UCHAGUZI MKUU wa 2025 utakuwa HURU na HAKI hivyo WADAU wa UCHAGUZI waondoe HOFU waliyokuwa nayo ktk UCHAGUZI wa 2019 na UCHAGUZI MKUU wa 2020.
Binafsi naamini CCM inatest MITAMBO yake ya WIZI wa KURA utakavyokuwa 2024 na 2025 hivyo WATANZANIA Tutarajie yale yale Yaliyotokea Wakati wa UCHAGUZI wa SERIKALI za Mitaa 2019 na UCHAGUZI MKUU wa 2020 uliosababisha HOFU KUBWA WAPINZANI Kukamatwa na Kufunguliwa KESI za MAUAJI UTAKATISHAJI PESA UGAIDI na UHUJUMU UCHUMI na SERIKALI ya Rais MAGUFULI.
Dah..jamaa alitakiwa aache ufala waliokuwa wanataka kufanya halafu awaondoe kibabe nchi aiongoze kijeshi kwa muda wa miaka miwili achukue rasimu ya warioba iwe katiba halafu awaachie kinyanganyiro uchaguzi wachuane free and fair election.
Hakika angeacha legacy kuliko hata Mwl. Nyerere
Wananchi wanajaa hisia potofu tu, wanapayuka tu, ovyo ovyo!Ona aibu kama hii! Hadi kina mama wanawashangaa kwa wizi!
Kwani lazima nyie mshinde hata kama hamtakiwi?
Hii ni huko Ujiji kigoma uchaguzi mdogo wa diwani, kumbe ndio maana hamtaki Katiba mpya wala Tume huru ya uchaguzi.
Kibinadamu mtu kuitwa mwizi ni aibu, basi nanyi oneni aibu kuitwa wezi tena ndani ya mwezi huu ambao waumini wa dini zote wako mko kwenye mfungo.
View attachment 2940800
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Imenikumbusha mbaali Sana.Kwenye Official Account yao ya X (Zamani twitter) ACT Wazalendo wamethibitisha kukamata kura hizo, na Kusema bado wanaendelea kuchukua Hatua stahiki ikiwa wao ni Moja ya vyama Shiriki kwenye Uchaguzi huo..
"Kura fake zimekamatwa zikiwa zinaingizwa kwenye vituo vya kupigia kura Katika Kata ya Kasingirima Kigoma. Kura hizo zimetiwa alama ya vema kwenye kiboksi cha mgombea wa CCM. ACT Wazalendo tumeshiriki uchaguzi huo".
View attachment 2940178
View attachment 2940179View attachment 2940180View attachment 2940181View attachment 2940182
View attachment 2940187
Duh π !Kwenye Official Account yao ya X (Zamani twitter) ACT Wazalendo wamethibitisha kukamata kura hizo, na Kusema bado wanaendelea kuchukua Hatua stahiki ikiwa wao ni Moja ya vyama Shiriki kwenye Uchaguzi huo..
"Kura fake zimekamatwa zikiwa zinaingizwa kwenye vituo vya kupigia kura Katika Kata ya Kasingirima Kigoma. Kura hizo zimetiwa alama ya vema kwenye kiboksi cha mgombea wa CCM. ACT Wazalendo tumeshiriki uchaguzi huo".
View attachment 2940178
View attachment 2940179View attachment 2940180View attachment 2940181View attachment 2940182
View attachment 2940187
Eti mitambo inatestiwa π π duh π !Hakika ni AIBU KUBWA kwa Chama kikubwa na kikongwe Afrika CCM kukamatwa na KURA FAKE zikiwa zimewekwa Alama ya TICK kwa MGOMBEA wake.
Kama Mtakumbuka MAKAMU MWENYEKITI wa CCM mh.KINANA alijinasibu kuwa Mh.RAIS SAMIA Ameahidi UCHAGUZI wa Serikali za Mitaa wa 2024 na UCHAGUZI MKUU wa 2025 utakuwa HURU na HAKI hivyo WADAU wa UCHAGUZI waondoe HOFU waliyokuwa nayo ktk UCHAGUZI wa 2019 na UCHAGUZI MKUU wa 2020.
Binafsi naamini CCM inatest MITAMBO yake ya WIZI wa KURA utakavyokuwa 2024 na 2025 hivyo WATANZANIA Tutarajie yale yale Yaliyotokea Wakati wa UCHAGUZI wa SERIKALI za Mitaa 2019 na UCHAGUZI MKUU wa 2020 uliosababisha HOFU KUBWA WAPINZANI Kukamatwa na Kufunguliwa KESI za MAUAJI UTAKATISHAJI PESA UGAIDI na UHUJUMU UCHUMI na SERIKALI ya Rais MAGUFULI.
Kwani kuna Ulazima gani vitabu hivyo vifanane na Kura halisi..Imenikumbusha mbaali Sana.
ACT Wazalendo wana Siasa za Shule sana. Yaani kuna avitabu vinagawiwa kwa ajili ya Kutoa elimu kwa Wapiga kura. Wao wamekuwa Wakiviandaa Vitabu hivyo kama
Kura Feki ili tu kuendelea kutengeneza Imani kwa Wananchi kuwa hawakushindwa kihalali. Hii Siasa za Mchongo Abdul Nondo amefundishwa na Zitto Kabwe. Hii ni Mbadala wa Siasa zao za kutetea udhaifu wao. Ila Hongera zao kuliko hao Wanaojificha chini ya kivuli chao.
Walijua bado jiwe yupo? Wazee wakuiba kura wajipangeKwenye Official Account yao ya X (Zamani twitter) ACT Wazalendo wamethibitisha kukamata kura hizo, na Kusema bado wanaendelea kuchukua Hatua stahiki ikiwa wao ni Moja ya vyama Shiriki kwenye Uchaguzi huo..
"Kura fake zimekamatwa zikiwa zinaingizwa kwenye vituo vya kupigia kura Katika Kata ya Kasingirima Kigoma. Kura hizo zimetiwa alama ya vema kwenye kiboksi cha mgombea wa CCM. ACT Wazalendo tumeshiriki uchaguzi huo".
View attachment 2940178
View attachment 2940179View attachment 2940180View attachment 2940181View attachment 2940182
View attachment 2940187
Labda admin wawe FBI na Server zikafungwe marekani.Dah yaani ni bora Watu tupige kura Online
Wewe kila kitu chadema, angalia nani kaposti..... ππKwani hizi propaganda za chadema bado zipo hai mpaka leo hii zinatumika!
Tulishakufafanulia kwamba Viti maalum havileti ruzuku Kwa Chama chochote. Unatumia kanuni gani kulazimisha ujinga huu wewe Mbumbumbu?CHADEMA wametolea macho ruzuku huoni za cov 19 wanakomba hawawezi susa!