Acha wakomeshwe hawa chawa wa CCMKwenye Official Account yao ya X (Zamani twitter) ACT Wazalendo wamethibitisha kukamata kura hizo, na Kusema bado wanaendelea kuchukua Hatua stahiki ikiwa wao ni Moja ya vyama Shiriki kwenye Uchaguzi huo..
"Kura fake zimekamatwa zikiwa zinaingizwa kwenye vituo vya kupigia kura Katika Kata ya Kasingirima Kigoma. Kura hizo zimetiwa alama ya vema kwenye kiboksi cha mgombea wa CCM. ACT Wazalendo tumeshiriki uchaguzi huo".
View attachment 2940178
View attachment 2940179View attachment 2940180View attachment 2940181View attachment 2940182
View attachment 2940187
Daaah, hii kazi kweli kweli, sasa mbona hapo ni kama wanajiibia wenyewe tu, itakuwaje uchaguzi mkuu mwakani.Wanatest mitambo ya 2025. Kuna ushindi wa kishindo 2025 π€£
Nasikia January ndio mtaalamu wa kupindua meza kwenye mambo hizo !Labda admin wawe FBI na Server zikafungwe marekani.
Wafukuzeni!Tulishakufafanulia kwamba Viti maalum havileti ruzuku Kwa Chama chochote. Unatumia kanuni gani kulazimisha ujinga huu wewe Mbumbumbu?
Hapo ndio watachakachua vizuri mno. Sisi wengine tunaposema njia ya uhakika ni kupindua nchi mnadhani hizo njia nyingine hatuzioni? Nimeshapigwa mabomu na polisi kwenye uchaguzi, nimekoswakoswa na risasi za polisi kwenye uchaguzi. Tena polisi walikuwa wanawalinda wachakachua kura π€£π€£π€£.
Yaani njia ya uhakika ni kupindua tu. Hata ikija hiyo katiba mpya na tume huru bado madudu yanaendelea π€£
Thubutu Yao CCM, hawawezi fanya hicho kitu kamweUSHAURI KWA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI, UPIGAJI WA KURA WA AINA HII UMEKWISHA PITWA NA WAKATI, TWENDE KWENYE DIGATAL, WATU TIPIGE KURA KWA SMARTFONE, LAPTOP HATA KWA SIMU NDOGO ZA KITOCHI, UTENGENEZWE MFUMO, FULANI UUNGANISHWE NA TUME, TIPIGE KURA, MATOKEO YAWE YANASOMA KWENYE MEGA SCREEN BOARD KUBWA, SIMPLE LIKE THAT, ITAONDOSHA KELELE,NA MALALAMIKO LUKUKI.
Niko CCM mkuu ila kwa hali hii inatia furaha na Hamasa sana maana nahisi kama nitafanikiwa kupita kwa Wajumbe basi naamini Tayari ubunge nishaupata...Mkuu DR Mambo Jambo 2025 ,si unataka kugombea ubunge kama hauko CCM, Basi inabidi utumie plan B
Unajua haya mambo ni kwa vile unyonge umewatawala wapinzani na ndani yao wapo mamluki kama kina Zitto na wanaaminika.Hakika ni AIBU KUBWA kwa Chama kikubwa na kikongwe Afrika CCM kukamatwa na KURA FAKE zikiwa zimewekwa Alama ya TICK kwa MGOMBEA wake.
Kama Mtakumbuka MAKAMU MWENYEKITI wa CCM mh.KINANA alijinasibu kuwa Mh.RAIS SAMIA Ameahidi UCHAGUZI wa Serikali za Mitaa wa 2024 na UCHAGUZI MKUU wa 2025 utakuwa HURU na HAKI hivyo WADAU wa UCHAGUZI waondoe HOFU waliyokuwa nayo ktk UCHAGUZI wa 2019 na UCHAGUZI MKUU wa 2020.
Binafsi naamini CCM inatest MITAMBO yake ya WIZI wa KURA utakavyokuwa 2024 na 2025 hivyo WATANZANIA Tutarajie yale yale Yaliyotokea Wakati wa UCHAGUZI wa SERIKALI za Mitaa 2019 na UCHAGUZI MKUU wa 2020 uliosababisha HOFU KUBWA WAPINZANI Kukamatwa na Kufunguliwa KESI za MAUAJI UTAKATISHAJI PESA UGAIDI na UHUJUMU UCHUMI na SERIKALI ya Rais MAGUFULI.
Ndani ya Mwezi mtukufu wa Ramadhani na Kwaresma??Kwenye Official Account yao ya X (Zamani twitter) ACT Wazalendo wamethibitisha kukamata kura hizo, na Kusema bado wanaendelea kuchukua Hatua stahiki ikiwa wao ni Moja ya vyama Shiriki kwenye Uchaguzi huo..
"Kura fake zimekamatwa zikiwa zinaingizwa kwenye vituo vya kupigia kura Katika Kata ya Kasingirima Kigoma. Kura hizo zimetiwa alama ya vema kwenye kiboksi cha mgombea wa CCM. ACT Wazalendo tumeshiriki uchaguzi huo".
View attachment 2940178
View attachment 2940179View attachment 2940180View attachment 2940181View attachment 2940182
View attachment 2940187
CCM bila kuiba kura, kutumia vyombo vya dola na tume feki ya uchaguzi hawawezi kupata ushindi hata kwa 25%. Watu wanaojitambuwa ni wengi ukiondoa wachache aina ya Lucas Mwashambwa pamoja na wanufaika wa ufujaji wa rasilimali za nchiKwenye Official Account yao ya X (Zamani twitter) ACT Wazalendo wamethibitisha kukamata kura hizo, na Kusema bado wanaendelea kuchukua Hatua stahiki ikiwa wao ni Moja ya vyama Shiriki kwenye Uchaguzi huo..
"Kura fake zimekamatwa zikiwa zinaingizwa kwenye vituo vya kupigia kura Katika Kata ya Kasingirima Kigoma. Kura hizo zimetiwa alama ya vema kwenye kiboksi cha mgombea wa CCM. ACT Wazalendo tumeshiriki uchaguzi huo".
View attachment 2940178
View attachment 2940179View attachment 2940180View attachment 2940181View attachment 2940182
View attachment 2940187
Mwindaji wa Tembo sio wa kumuamini hata kidogo.Wapi Kinana?ππ