ACT Wazalendo wakamata Kura Feki uchaguzi Mdogo Kata ya Kasingirima Kigoma zikiwa zimepigwa kwa Mgombea wa CCM

Kwamba yale aliyowaambia Kinana ilikuwa fix kumbe ?
 
Safi Sana... Shetani hajawi kuwa na urafiki...hawo ndio malipo ya umamluki wa ACT Wasaliti
 
Kama ni kweli ccm tunajitia aibu! kwani kuna shida gani chama kujipima kwa wanachi bila wizi? kwani tukipateza hata kata kumi shida ipo wapi? kama chama kinafanya haya je wasimamizi wa mitihani nao wakiiba mtawalaumu hiyo ni kashfa ilipaswa katibu mkuu awajibike kwa kukitia chama aibu.
 
Yaani Samia anakibali serikali yake inafanya maovy haya ha hayakemei.Kweli ni hatali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…