Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Umenielewa?? Inamaana NEC hawataweza kutoa jina la membe kwenye chama cha ACT kwakuwa siku 90 zmepita. Sasa hapo ndipo kura zitakapochakachuliwa.
kama waliokuwa wampigie Membe wanampigia Lissu kuchakachua kutatoka wapi?
 
Hujafa hujaumbika hata wewe mda huu huu unaweza kuwa kilema kwa ajali hata ya nyumba yako kuangukiwa na Ndege usibeze ukilema wa mtu wakati ajali zipo na mda wowote zinaweza kukupitia hata wewe
Kwema huko uliko?
 
Na ubaya zaidi walichofeli vyama vya upinzani, ni ku copy, edit &paste Ilani ya CCM, kwa maana nimebahatika kusoma ilani zote hizo na nimegundua hilo, upinzani bado hawana uwezo wa kuiongoza nchi hii ya Tanzania.
Aziza binti yangu, nisikilize

Nakushauri jikite kwa mpalange
 
Lissu anapenda kumnukuu Baba wa Taifa kwenye suala la watu na maendeleo. Baba wa Taifa huyo huyo alisema pia kwamba "Nchi haiongozwi kwa majaribio. Tukiwapa CHADEMA kuongoza nchi dunia itatushangaa. Dunia itaona Watanzania wamelewa amani".
 


Rolimodo ka kaza
 
This time "The Hague" wanafatilia matukio yooote kwa karibu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…