Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Nikiangalia combination hii ni dhahiri muungano wa Tanganyika na Zanzibar utakuwa bora na wa kisasa zaidi duniani.Hadi sasa nilichogundua ni kuwa ACT na Chadema wana strategist ambao ni over extra smart. Ni dhahili sasa CHADEMA NA ACT wamewaoutsmart Ccm.
Mwaka huu Historia Kuu inaenda kuandikwa Tanzania.
Tundu Antiphas Lissu Raisi Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025
Maalim Seif Raisi wa Zanzibar 2020- 2025.
Hakuna kulalamikiana wala kuoneana Bali maendeleo ya kisasa zaidi. Sio ajabu Zenj kugeuka Dubai ya Afrika