Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Hadi sasa nilichogundua ni kuwa ACT na Chadema wana strategist ambao ni over extra smart. Ni dhahili sasa CHADEMA NA ACT wamewaoutsmart Ccm.

Mwaka huu Historia Kuu inaenda kuandikwa Tanzania.

Tundu Antiphas Lissu Raisi Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025

Maalim Seif Raisi wa Zanzibar 2020- 2025.
Nikiangalia combination hii ni dhahiri muungano wa Tanganyika na Zanzibar utakuwa bora na wa kisasa zaidi duniani.
Hakuna kulalamikiana wala kuoneana Bali maendeleo ya kisasa zaidi. Sio ajabu Zenj kugeuka Dubai ya Afrika
 
Ngoja niangalie kama sheria ya NEC inawaruhusu, sbb hawapashwi kuungana muda huu, sbb muda wa kuungana ulishapita[emoji28].. Figisu tunaweka
Mbona hata "sisi" viongozi wa CCM wastaafu tumeamua Lissu ndio mgombea wetu? Jee kura zetu zinahitaji kibali cha NEC ili zihesabiwe?
Sii mlisema tunawashwa washwa?
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi na CCM ndio watajua hawajui na Sheria yao ya vyama kuungana miezi mitatu kabla ya Uchaguzi nyambafu zao.
mnalo Hilo....!
Membe itakuwepo picha tu ....Ila kura zote za Act zinaenda kwa Rais TLLissu
 
Ngoja mapambio yaendelee ila sote tunafahamu nani atakua Rais wa nchi hii kwa JMT na Zanzibar.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Ukweli ni kuwa Membe amekimbia ukata,kukosa support ya kutosha kutoka kwa wapiga kura pamoja na muziki wa kutisha kutoka Chama Tawala

Kilichotokea leo kwa CCM siyo kipya na kilitarajiwa mapema mno kutokana na maandalizi ya kutosha yaliyofanywa na CCM

Ukweli ni kuwa pumzi kwa wapinzani zinazidi kukata na wameamua kumuunga mkono T.L kwa lazima baada ya mambo kuzidi kuwa magumu

CCM ndiyo kwanza wapo kwenye awamu ya 2 ya Kampeni zao na bado kuna awamu 4 zimebaki

Oktoba 28 mtavuliwa nguo hadharani na siyo kuabishwa na CCM
 
Ukweli ni kuwa Membe amekimbia ukata,kukosa support ya kutosha kutoka kwa wapiga kura pamoja na muziki wa kutisha kutoka Chama Tawala...
Maneno yako hayo kamueleze Mbatia na Genge lake. Sheria za uchaguzi mlizitunga ili kuwakomoa Wapinzani. Sasa sheria zile Wapinzani wamezitumia vilivyo kwa msaada wa Mwanasheria Mbobezi na Rais Mtarajiwa. Jiandaeni kisaikolojia.
 
Aise! Inawezekana kilichompeleka Dubai yule Kachero mbobezi ni hicho.
My take atarudi nyumbani kama Sumaye alivyorudi nyumbani baada ya kufanyiwa figisu kwenye ucahguzi wa Mwenyekiti Taifa CDM.

Mwaka huu mtarokota sana makopo.

Leo ndiyo mwanzo kusikia kuwa ACT na CDM wangekuwa na mgombea mmoja?

Hukusikia kulikuwa na mazungumzo yakiendelea?

Hukusikia kingesimikwa kisiki cha mpingo?

Hukusikia kulikuwa na mitego ya kuruka?

Hukusikia kampeni kachero alijikita Lindi tu kumtia mtu sumu vilivyo?

Kwani maji yaliwahi kuwa mazito kuliko damu?

Umesharokota makopo mangapi hadi sasa?
 
Nikiangalia combination hii ni dhahiri muungano wa Tanganyika na Zanzibar utakuwa bora na wa kisasa zaidi duniani.
Hakuna kulalamikiana wala kuoneana Bali maendeleo ya kisasa zaidi. Sio ajabu Zenj kugeuka Dubai ya Afrika
Sahihi kabisa! Wazanzibar wanaenda kuipata kweli haki yao ya maendeleo ya kweli
 
Hali ya CCM ni mbaya sana. Watu hawamtaki magufuli mchana kweupe. Historia kuu inaenda kuandikwa Tanzania mwaka huu
Hata Bashiru hamtaki ni hiyo tu tumbo lake linashiba, njaa imemuondoa akili hadharani, lkn moyoni naye ni kipenzi cha TAL
 
Kwa hili sasa nimeamini kuwa Membe hayupo upinzani kimkakati zidi ya upinzani bali ana nia ya kweli ya mabadiriko kitaifa.
Very outsmarting strategy
Uchaguzi huu ilikuwa aibu kubwa sana kwa Membe.

Kwa upepo ulivyo Membe asingepata hata nusu ya kura alizopata Mama Anna Mghwira.

Wananchi hawana imani tena na ccm wala mwanaccm yeyote ndiyo maana Membe watu waliamini amekuja kugawa kura za Lissu tu.
 
Back
Top Bottom