Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

kampeni kutimiza wajibu tu... 92% foshoo[emoji3]

Wasanii ni burudani za kawaida...

Viva Magu 2020 to 2030

Heil the JPM
Kama mlivyokuwa mnamsifia jiwe kwamba 2020 hana haja ha kupiga kampein badala yake kakutana na mziki mnene Hadi kaamua kubeba wasanii wote ili kuvuta watu [emoji2957]
 
Ila mijamaa iliyoshindwa kumuua Lissu kwa risasi zaidi ya 32 itakuwa ishanyongwa kwa maelezo ya mama Samia...

Lissu ni chaguo la Mungu na mbeba Maono HAFI hadi atimize kusudi la Mungu
 
Woyowoyowoyoooooo twendeni na lisu watz magu hafai kuwa rais wa nchi hana huruma na watz yeye anathamini kujua jesca atakula na kuvaa nn lkn sio watoto wa wenzake wanaohangaika barabarani,

Mwaga pombe weka lisu, tusifanye makosa.wapo wana ccm wengi hawamtaki magu lkn wameficha moyoni Oct.28 wanajambo naye

Lile bit la bashiru kuna harufu amenusa
 
wacha kujikanyaga, jana membe kaweka mkazo twitter! wewe unaleta post za miezi 6 nyuma, Na kwa kuongezea zitto nae kaweka mkazo kama ulifuatilia mahojiano yake bbc! inshort wewe endelea kuishi kwenye game lako, cha msingi jiandae tu kisaikolojia, angalia hii tweet imepostiwa lini na picha lako lina miezi mingap



bila shaka utatuliza presha sasa

Membe nani ACT Wazalendo..Maalim kaja na mamilioni ya watu..Fikra za mwenyekiti hazipingwi..hiyo video hapo juu ni jana ZNZ
 
RASMI: ACT-WAZALENDO YAMUUNGA MKONO MGOMBEA URAIS WA CHADEMA

Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza chama chao kumuidhinisha Mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Maalim Seif ameyasema hayo saa chache zilizopita akiwa kwenye Kampeni katika Jimbo la Donge.



View attachment 1576741


Msemaji wa ACT-Wazalendo ameithibitishia JamiiForums kuwa huu ndio msimamo wa chama.

Mapema mwezi huu, Lissu alitangaza kumuunga mkono Maalim Seif akisema Chama cha ACT-Wazalendo kinaweza kuiondoa CCM madarakani visiwani Zanzibar

View attachment 1576754
Hata wakiungana wote, hawawezi shinda. Mara 100 wangegombea ubunge tu.
 
Nimeshiriki figisu figusu za uchaguzi mkuu kuanzia mwaka 2000 hadi 2010, sikuwahi kupiga kura.

Lakini mwaka huu, nikijaaliwa afya njema nitampigia Lissu, siwezi kuishi na mateso haya ya Magufuli kwa miaka 5 mingine. Eeh mwenyezi Mungu nisaidie.
Bila Shaka kura yako itakuwa game changer..tehtehteh..ukipiga kura yako tu Lissu atakuwa Rais...hahahaha
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi na CCM ndio watajua hawajui na Sheria yao ya vyama kuungana miezi mitatu kabla ya Uchaguzi nyambafu zao.
Duh.. Yani hata wewe unashangilia huu ujinga?
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi na CCM ndio watajua hawajui na Sheria yao ya vyama kuungana miezi mitatu kabla ya Uchaguzi nyambafu zao.
Mkuu vyama vingeungana mapema impact ingekuwa kubwa sana. Mpaka sasa hata kama Membe aungana na Lissu tayari Membe hana wafuasi wa kuleta impact tofauti na joto aliloleta alipojitoa CCM kufanya aonekane ni bora zaidi au sawa na Lissu kiushawishi tofauti na picha ya sasa.

CCM wamefanikiwa sana, hatari zaidi ni Membe kugomea tamko la Maalim! Watagawana mbao vile vile kama ulivyokuwa CUF. Then ndege tunduni [emoji41] , hesabu jioni [emoji41]
 
Hutapata muda wa kuirudia kwa sababu wote tutakuwa barabarani tukiwatafuta polepole
Unaikumbuka ile slogan ya UKUTA? Ulienda barabarani? If No, expect the same thing.

Kusubiri kuibiwa kura kwanza eti ndio uende barabarani si sahihi. Kuingia kwenye uchaguzi kwa NEC hii hii inayoongozwa na maDED ni tactical mistake
 
Kama Hamjui mtajua mwaka huu. Lindi, Mtwara, Zanzibar na Tanga Membe na Maalim wanapeleka kura zote kwa Lissu!

Kigoma na Tabora- Zitto Kabwe anapeleka kura zote kwa Lissu

Tundu Lissu anamalizia Dar es Salaam, Morogoro, Iringa, Singida, Mara, Kagera , Mwanza, Simiyu, Katavi, Rukwa , Mbeya , Songwe,Njombe na Pwani, Arusha, Kilimanjaro na Manyara huku Shinyanga akibeba Nusu!


Magu anachukua Geita na Dodoma!!!

CCM ndo watajua hawajui mwaka huu[emoji23][emoji23][emoji23]

Go Lissu.......,,,,,,,,,
Dom kwenyewe watagawana
 
This time "The Hague" wanafatilia matukio yooote kwa karibu sana!
CCM na NEC yao wanajua hilo. Ndio maana wanajifanya kuacha habari za walinzani zitangazwe bila bugudha ila mchezo wote upo kwenye kudoctor kura. Utashangaa sana.

Baada ya uchaguzi huu inabidi muundo wa NEC ufanyiwe major overhaul ili chaguzi ziwe na tija huko mbele ya safari.
 
Yaan kushangilia hoja ,hii kwa watu was cdm.Inaonyesha hamna matumaini kabisa.Kwani act,ina watu wangapi?Tuongee kwa statistics ,tusidanganyane.
Kwani lazima kuwa mwanachama wa chama fulani ndo upigie chama hicho? Kwa wale wanaojitambua wanaweza wasifanye hivyo. Hivi waliojiandikisha wote ni kutoka kwenye vyama vya sasa hakuna wananchi wa kawaida?
 
Huyu Mzee ni fundi wa siasa zenye mashiko, ninaamini hata akiwa rais wa Zanzibar ataivusha mbali Zanzibar tofauti na hao wanaorithishwa vyeo na familia zao!
 
Uko sahihi, kauli hiyo ilishatamkwa na mbunge flani hivi-bungeni.
Lakini huwa yana mwisho wake.
Labda siku sheria za uchaguzi zikifanyiwa marekebisho makubwa. Only in Tanzania matokeo ya urais ya NEC ni alfa na omega na hakuna yeyote anayeweza kuyahoji. Yaani NEC wanaweza tu kupindua meza huyu akapewa ya yule na jeshi likaanza kumlinda aliyepewa ushindi

Harafu uliona wapi DED akawa”staff” wa NEC? Kwamba hatuna pesa za kuajiri staff independent wa NEC? Kwenye mazingira haya unadhani Ikulu Lissu atapewa tu kwenye silver plate? Never
 
Back
Top Bottom