Nikiangalia combination hii ni dhahiri muungano wa Tanganyika na Zanzibar utakuwa bora na wa kisasa zaidi duniani.Hadi sasa nilichogundua ni kuwa ACT na Chadema wana strategist ambao ni over extra smart. Ni dhahili sasa CHADEMA NA ACT wamewaoutsmart Ccm.
Mwaka huu Historia Kuu inaenda kuandikwa Tanzania.
Tundu Antiphas Lissu Raisi Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025
Maalim Seif Raisi wa Zanzibar 2020- 2025.
Mbona hata "sisi" viongozi wa CCM wastaafu tumeamua Lissu ndio mgombea wetu? Jee kura zetu zinahitaji kibali cha NEC ili zihesabiwe?Ngoja niangalie kama sheria ya NEC inawaruhusu, sbb hawapashwi kuungana muda huu, sbb muda wa kuungana ulishapita[emoji28].. Figisu tunaweka
mnalo Hilo....!Tume ya Taifa ya Uchaguzi na CCM ndio watajua hawajui na Sheria yao ya vyama kuungana miezi mitatu kabla ya Uchaguzi nyambafu zao.
Duu nimeelewa lile fuko la noti lilikuwa gereshaKwa hili sasa nimeamini kuwa Membe hayupo upinzani kimkakati zidi ya upinzani bali ana nia ya kweli ya mabadiriko kitaifa.
Very outsmarting strategy
Maneno yako hayo kamueleze Mbatia na Genge lake. Sheria za uchaguzi mlizitunga ili kuwakomoa Wapinzani. Sasa sheria zile Wapinzani wamezitumia vilivyo kwa msaada wa Mwanasheria Mbobezi na Rais Mtarajiwa. Jiandaeni kisaikolojia.Ukweli ni kuwa Membe amekimbia ukata,kukosa support ya kutosha kutoka kwa wapiga kura pamoja na muziki wa kutisha kutoka Chama Tawala...
Zako ngapi?
Aise! Inawezekana kilichompeleka Dubai yule Kachero mbobezi ni hicho.
My take atarudi nyumbani kama Sumaye alivyorudi nyumbani baada ya kufanyiwa figisu kwenye ucahguzi wa Mwenyekiti Taifa CDM.
Hutapata muda wa kuirudia kwa sababu wote tutakuwa barabarani tukiwatafuta polepoleJP Magufuli hatoachia urais kupitia sanduku la kura. Hivyo hivyo Zanzibar. Maalim Seif hatopewa urais...
2020 to 2030??? Ndio kusema kile kipindi alichosema Mwinyi miaka mitano ya zawadi kashapewa??
Membe alifikiri kelele za mitandaoni na huku field zipo,!
Haamini anachokiona
Sahihi kabisa! Wazanzibar wanaenda kuipata kweli haki yao ya maendeleo ya kweliNikiangalia combination hii ni dhahiri muungano wa Tanganyika na Zanzibar utakuwa bora na wa kisasa zaidi duniani.
Hakuna kulalamikiana wala kuoneana Bali maendeleo ya kisasa zaidi. Sio ajabu Zenj kugeuka Dubai ya Afrika
Hata Bashiru hamtaki ni hiyo tu tumbo lake linashiba, njaa imemuondoa akili hadharani, lkn moyoni naye ni kipenzi cha TALHali ya CCM ni mbaya sana. Watu hawamtaki magufuli mchana kweupe. Historia kuu inaenda kuandikwa Tanzania mwaka huu
Uchaguzi huu ilikuwa aibu kubwa sana kwa Membe.Kwa hili sasa nimeamini kuwa Membe hayupo upinzani kimkakati zidi ya upinzani bali ana nia ya kweli ya mabadiriko kitaifa.
Very outsmarting strategy
Bashuri kakwambia ujibu hivo maana akili zenu zote nyinyi zina hifadhiwa dodomaHakuna mkakati wowote wa maana kwa upinzani. Nchi haiwezi kuongozwa na watu wasiokuwa na sera tena vibaraka. Mtaisoma namba na vibaraka wenu.
Chaguo la uwanja wachato jee atakua nani?Tanzania hatuwezi tukawa na Rais, Asiyeweza kujisimamia kama lisu, chaguo la watanzania ni Magufuli
Soma tena ulichokiandikaNchi inaenda kuongezwa na mlemavu....