Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Tayari Hawa wanabifu. Maana Membe amekanusha hii taarifa ya kuunga mkono Chadema.
 
Kuwakata Wagombea wa Upinzani na kuwahonga ili wajitoe ni halali?
Je ukiambiwa uthibitishe hilo unaweza kuthibitisha? Hivi kwa akili ya kawaida yani mtu uhonge kwa miaka 20 yote hiyo watu wakuangalie tu inachekesha.
Mkuu naona umeweka na kajina kabisa, pambana mkuu uenda ikitokea mgombea wenu akifanikiwa utakumbukwa katika uteuzi
Mtu sahihi ni yule anayeamini katika ukweli, sasa kama wewe unaamini katika kudanganya, ninayo imani kuwa hata huyo unayemuamini na kupmigia promo atakuwa muongo muongo kama wewe tu, maana ndege wafananao mbawa huruka pamoja endeleeni kuwadanganya watu ila oktoba habari mtaipata.
 
Karatas za kura zilishaprintiwa au bado? Inawezekana kajitoa lkn katika karatas ya kura bado yumo
 
kampeni kutimiza wajibu tu... 92% foshoo[emoji3]

Wasanii ni burudani za kawaida...

Viva Magu 2020 to 2030

Heil the JPM
Yeye hapigi kampein Bali anafoka kwa hasira baada ya kuona wajanja wamempiga hela kwa hoja ya kuingia mkono juhudi
 
chadema mmeshavunja dole la mwisho mumebakiza dole la kati ...

kwa hio Membe chali ?
 
 
Bwana yule lazima ampigie simu Ziraili amuulize kwanini hukumchukuwa huyu anae nisumbua kwenye kampeni za urais. 😂


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…