Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Inawezekana uko sahihi 99%. Je wananchi wa sasa ni wale wa bora amani ya uwoga huku watu wakinyimwa haki zao na wengine wakipotezwa kwa kuonesha misimamo ya wazi dhidi ya mtawala?
 
Dah yaani kimchezomchezo tu CCM inaenda kuachia madaraka.

Ngwe hii ya pili tutashuhudia mengi. CHADEMA ikijihakikishia kura za kutosha za waislamu, huu mchezo umekwisha. Hapo bado jeshi la wanawake halijaachiwa lianze mashambulizi yake!
 
Hivi mna habari kwamba jina lake bado litakuwepo kwenye orodha ya wagombea?

Hata kama amejiondoa kimya kimya, bado kuna watu watampigia kura, labda aje sasa hadharani atamke kuwa amejitoa, vinginevyo kuna kura ataharibu
 
Ila ukumbuke pia hao unaowataja walitokea chama kipi ? ndipo utakapopata jibu uchaguzi huu nitofauti na chaguzi zote,na pia hatutakiwi kuishi kwa mazoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…