Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Mambo hadharani. Kura za ACT Wazalendo zote sasa kwa Tundu Lissu baada ya mwenyekiti wa ACT Wazalendo Maalim Seif kutamka rasmi kumuunga mkono.

Hii ngoma bado mbichi sana.

On top of this latest support from the Maalim himself, tumekuwa tukishuhudia maelfu ya wapiga kura wa hata vijijini swekeni huko jinsi wanavyomlaki Tundu Lissu kwenye campaign rallies zake.

Kwa kweli CCM tutahitajika kufanya rigging ya kutoka sayari ya Mars ili mgombea wetu ashinde!

Ilipangwa ikapangika.
 
Acha uwongo.
FB_IMG_1600532661272.jpg
 
Hizi ndio kampeni za kisayansi sasa sio zile za kupakia watu kwenye malori na kuwakemea wapiga kura
Ebu rudia huo usemi wa ".... za kisayansi ...." then jitazame kwenye kioo. Usishangae unajicheka wenyewe. Imagine hiyo misululu ya boda boda barabarani na bendera za CDM kuwa na hadhi ya kisayansi. Kama siyo akili ya popo sijui tukuite vipi.
 
Hadi sasa nilichogundua ni kuwa ACT na Chadema wana strategist ambao ni over extra smart. Ni dhahili sasa CHADEMA NA ACT wamewaoutsmart Ccm.

Mwaka huu Hiatoria Kuu inaenda kuandikwa Tanzania.

Tundu Antiphas Lissu Raisi Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025

Maalim Seif Raisi wa Zanzibar 2020- 2025.
Nchi inaenda kuongezwa na mlemavu....
 
Nimeshiriki figisu figusu za uchaguzi mkuu kuanzia mwaka 2000 hadi 2010, sikuwahi kupiga kura.

Lakini mwaka huu, nikijaaliwa afya njema nitampigia Lissu, siwezi kuishi na mateso haya ya Magufuli kwa miaka 5 mingine. Eeh mwenyezi Mungu nisaidie.
Mwisho wa siku Magufuli atakua ndiye rais wako!
 
Aise! Inawezekana kilichompeleka Dubai yule Kachero mbobezi ni hicho.
My take atarudi nyumbani kama Sumaye alivyorudi nyumbani baada ya kufanyiwa figisu kwenye ucahguzi wa Mwenyekiti Taifa CDM.
 
Hao tunajua hawakosekani kwan hata mgombea wa chadema uko zanzibar kuna watakao mpigia ila ni kiwango kidogo sana wengi wataziamishia kura zao kwa lisu na seif uko zabar, oliigwa??
Hivi mna habari kwamba jina lake bado litakuwepo kwenye orodha ya wagombea?

Hata kama amejiondoa kimya kimya, bado kuna watu watampigia kura, labda aje sasa hadharani atamke kuwa amejitoa, vinginevyo kuna kura ataharibu
 
Mambo hadharani. Kura za ACT Wazalendo zote sasa kwa Tundu Lissu baada ya mwenyekiti wa ACT Wazalendo Maalim Seif kutamka rasmi kumuunga mkono.

Hii ngoma bado mbichi sana.

On top of this latest support from the Maalim himself, tumekuwa tukishuhudia maelfu ya wapiga kura wa hata vijijini swekeni huko jinsi wanavyomlaki Tundu Lissu kwenye campaign rallies zake.

Kwa kweli CCM tutahitajika kufanya rigging ya kutoka sayari ya Mars ili mgombea wetu ashinde!

Leo kabia kangu ka heineken kanashuka taratiiiibu kwa furaha
Lisu oyeee!
 
Back
Top Bottom