Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usinilaumu Mkuu ila kama akili zimekurudia basi nakushauri dawa ni kutubu hadharani kama ulivyomdhihaki hadharani...Mungu atakusamehe...vinginevyo unalo hilo...hadi kizazi cha nne.Kwani mimi ndio nilimvunja vunja? Hebu niondolee imani zako za kishirikina hapa.
Unapofanyia wanadamu uharifu utegemee mawili - Wakuvumilie au wapambane nawe kwa kuvunja haki zao, ukiona watu wamepambana nawe usianze tafuta au kumpa lawama aliyewashitua na kuwapa mbinu ya kukuchabanga, unatakiwa kutofanya uharifu utochabangwa, usitegemee kuvumiliwa tuUzuri wa nguruwe hujirosti mwenyewe
Kwani zilienda wapi?usinilaumu Mkuu ila kama akili zimekurudia...
Kwani wewe inakusaidia nn kusema na kale kamguu kake mjinga mkubwa wewe ila sio kosa lako njaa inakusumbuaSasa hii inakusaidia nini, kwa mfano?
Hata slaha anakadi ya chadema lkn amejiunga na wauwajiNdoto za mchana,,,ukimchunguza vzuri MS anakadi ya CCM,,,
So wake up broo,,!!
Ccm wanafanya kampeni za kisayansi za kuwavalisha watoto wa shule mashati yao ya mboga mbogaHizi ndio kampeni za kisayansi sasa sio zile za kupakia watu kwenye malori na kuwakemea wapiga kura
BREAKING NEWS: Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo taifa, Seif Sharif Hamad amemuidhinisha mgombea wa Chadema Tundu A Lissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Taarifa zaidi kufuata baadaye
Source: EATV
BREAKING NEWS: Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo taifa, Seif Sharif Hamad amemuidhinisha mgombea wa Chadema Tundu A Lissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Taarifa zaidi kufuata baadaye
Source: EATV
Unapofanyia wanadamu uharifu utegemee mawili - Wakuvumilie au wapambane nawe kwa kuvunja haki zao, ukiona watu wamepambana nawe usianze tafuta au kumpa lawama aliyewashitua na kuwapa mbinu ya kukuchabanga, unatakiwa kutofanya uharifu utochabangwa, usitegemee kuvumiliwa tuUpinzani ulishakufa tangu 2015 kililichobaki ni futuhi.