Mambo hadharani. Kura za ACT Wazalendo zote sasa kwa Tundu Lissu baada ya mwenyekiti wa ACT Wazalendo Maalim Seif kutamka rasmi kumuunga mkono.
Hii ngoma bado mbichi sana.
On top of this latest support from the Maalim himself, tumekuwa tukishuhudia maelfu ya wapiga kura wa hata vijijini swekeni huko jinsi wanavyomlaki Tundu Lissu kwenye campaign rallies zake.
Kwa kweli CCM tutahitajika kufanya rigging ya kutoka sayari ya Mars ili mgombea wetu ashinde!
Huu ni mwendelezo wa kuruka mitego.
Wale wa mboga mboga walidhani walikuwa na miliki ya infiltration. Zama hizi ni tofauti sana.
Viva BKM!