Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
Tujadili kwa hoja ndugu zangu, tuache matusi na zaidi sana tusiwabeze viongozi kwa kuwatamkia maneno mabaya.
Binafsi sijapenda kabisa kudhalilishwa kwa maumbile ya mgombea kwani hii inaamsha hasira na kufanya watu waandike mambo yasiyoandikika.
Tuwapigie debe wagombea wetu bila kudhalilisha wagombea wengine