NANGANA
JF-Expert Member
- Jul 7, 2012
- 777
- 416
Nguvu ya umma mkuu,inaonyesha dhahiri mtalii wa chato hana chake,ndani ya chama hatakiwi sembuse sie wa kaliua ,Go Lissu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwakuwa Seif kasema rais wa tz ni Lisu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguvu ya umma mkuu,inaonyesha dhahiri mtalii wa chato hana chake,ndani ya chama hatakiwi sembuse sie wa kaliua ,Go Lissu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwakuwa Seif kasema rais wa tz ni Lisu?
Upinzani ulishakufa tangu 2015 kililichobaki ni futuhi.
Sawa.Upinzani ulishakufa tangu 2015 kililichobaki ni futuhi.
Yaan kushangilia hoja ,hii kwa watu was cdm.Inaonyesha hamna matumaini kabisa.Kwani act,ina watu wangapi?Tuongee kwa statistics ,tusidanganyane.Msumari mgumu kwa janaa wale waliotunga njama mbaya kwamba hakuna muungano wa vyama.
Sasa muungano umekuja kwa namna ambayo hawakuwahi kufikiri na madhara yake ni mabaya kuliko yale waliyotaka kuyadhibiti.
Maneno ya Mungu Muumba yanasema, 'adai atakujia katika njia moja lakini Mungu atamtawanya kwa hofu kwa njia saba'
Hili neno linawadhihirikia sisiem kwa sasa.
Hiyo ni fact, hao mnaowapambania wote ni CCM, njoo baada ya uchaguzi tujadilianeHii nchi sio ya CCM..
Acha kutuletea pigo za kiwaki bro..itabaki kuwa hivyo hadi lini?..wana hati miliki ya hii nchi?
Maamuzi ya ajabu kabisa haya
Ndio ujasusi wenyewe huoVipi kuhusu Jasusi bobevu la kimataifa?
Hahaha mkuu dawa si kali wagonjwa wanaekiti tu kuwa dawa imeingia, kumbe wanawashangaa madaktari namna ambavyo hamjafuzu taaluma yenu.hahahaaaa.... naona dawa ishaanza kuingia!
mzee wa kimbunga cha kumbakumba kwani anasemaje juu ya hili?
Vipi kuhusu Jasusi bobevu la kimataifa?
Hadi sasa nilichogundua ni kuwa ACT na Chadema wana strategist ambao ni over extra smart. Ni dhahili sasa CHADEMA NA ACT wamewaoutsmart Ccm.
Mwaka huu Hiatoria Kuu inaenda kuandikwa Tanzania.
Tundu Antiphas Lissu Raisi Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025
Maalim Seif Raisi wa Zanzibar 2020- 2025.