Mwamba si Mbowe?Una uhakika kwamba kichwani una akili?
Kwa mnyika hapana nakataaa labda mboweKuna tetesi za Mnyika kujiunga na ACT wazalendo, wenye za ndani watufahamishe!
View attachment 3356513
Mbowe ajiunge na zitto? Haahaa maajabuMwamba si Mbowe?
Mnyika Yuko Moro kwenye operesheniNgoja tusubiri tuone
Waliposema "mwamba" wakadhani ni Mnyika au Mbowe!Mnyika Yuko Moro kwenye operesheni
Kinachoshindikana ni nini. Uadui wa wanasiasa sio wa kudumu. Hata Lisu akitangaza leo anahamia lumumba mashitaka yote yanaisha. Hiyo ndiyo siasaYaani Mbowe amfuate Zitto Kabwe? Ngoja tuone.