Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kitashiriki Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Muhambwe, ambalo liko wazi baada ya kifo cha Astashasta Nditiye ambaye alikuwa mbunge mteule wa jimbo hilo
Wamesema hauwezi kusimamisha shughuli zote kwa sababu ya kusubiri jambo moja. Hivyo watashiriki Uchaguzi huku wakiendelea kudai Tume Huru ya Uchaguzi
Katika Ujumbe wake kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo amesema Uchaguzi huo utakuwa kipimo dhahiri kwa Rais Samia Suluhu kama ana nia ya dhati kwa demokrasia ya nchi