Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wasema watashiriki uchaguzi mdogo jimbo la Muhambwe

Zitto akiibiwa kura hapo kibondo asije kulialia hapa akubali matokeo na ampe ushirikiano Samia!!

Huyo unayesema alikua kwenye kiyoyozi uliona alivyorudi hadi ACT mkapoteana na mgombea wenu wa kubumba haahaaa.

Yaani pale ndio nliwadharau kabisa.... Mnapokea kapi la CCM na liliwakomesha mkakosa kila kitu huku bara hamna mtaji wa wanachama kabisa.

Lissu is worth a million more ndio maana zitto alikubali kumuunga mkono maana aliona upepo wake haukamatiki.
Ni ujinga usio na kipimo kusema Lissu is worth a million more na wakati alipotangaza maandamano hawakutoka ata watu 3., ata yeye binafsi hakutoka na badala yake alikimbili ubalozi eti katumiwa sms na mtu atakayemuua., haikuleta tija yoyote yeye kwenda ubalozi wala haikumsaidia chochote kisiasa., Lissu is a coward idiot..,

ACT walijuta sana kumuunga mkono coward Tundu Lissu ambaye sasa anakiongoza chama chenu kupitia twitter na youtube
 
Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kitashiriki Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Muhambwe, ambalo liko wazi baada ya kifo cha Astashasta Nditiye ambaye alikuwa mbunge mteule wa jimbo hilo

Wamesema hauwezi kusimamisha shughuli zote kwa sababu ya kusubiri jambo moja. Hivyo watashiriki Uchaguzi huku wakiendelea kudai Tume Huru ya Uchaguzi

Katika Ujumbe wake kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo amesema Uchaguzi huo utakuwa kipimo dhahiri kwa Rais Samia Suluhu kama ana nia ya dhati kwa demokrasia ya nchi

View attachment 1740889View attachment 1740890
Uchaguzi huo kumbe unasimamiwa na raisi Samia?
 
Chadema ndio Upinzani hao wengine wanalinda maslahi ya CCM.
 
Tutafukuza wote tu ndio discipline inajengwa... Ona kina Zitto walitimuliwa ili heshima ya chama iwepo na toka hapo hamna anayeogopwa kwenye chama otherwise yangetukuta ya Lipumba and the late Seif!!

About Issa Mohammed hana madhara.... Yupo pale ceremonial kwa sababu ya muungano tu so abaki atoke hana impact. Zeni ni kina Mwalimu ndio wapo kwenye inner circle.
He yaani unakaa na pandikizi mtu wa pili baada ya mbowe halafu unasema ni ceremonial? Sasa hao ambao sio ceremonial mbona hawaonekani wanakuongozeni kupitia twitter ya youtube? lazima ukubali chama chenu kimekufa
 
Ni ujinga usio na kipimo kusema Lissu is worth a million more na wakati alipotangaza maandamano hawakutoka ata watu 3., ata yeye binafsi hakutoka na badala yake alikimbili ubalozi eti katumiwa sms na mtu atakayemuua., haikuleta tija yoyote yeye kwenda ubalozi wala haikumsaidia chochote kisiasa., Lissu is a coward idiot..,

ACT walijuta sana kumuunga mkono coward Tundu Lissu ambaye sasa anakiongoza chama chenu kupitia twitter na youtube
Kipimo cha kukubalika ni maandamano? Kwenye maandamano aliyovunjwa Jussa walijitokeza wananchi wangapi?

Ina maana Maalim hakubaliki kisa tu wananchi walijifungia ndani?

Toeni ujinga hapa..... Nguvu ya mwanasiasa inapimwa kwenye sanduku la kura sio uwezo wa kukwepa virungu.

Hayo maandamano yaliitishwa jointly na Lissu and Zitto? So kma wananchi waliogopa why Lissu and sio Zitto ambaye alikua buguruni kuorganize?

Lazima ufahamu CHADEMA imeenea nchi nzima ila ACT iko pemba na unguja tu and that's the difference..... CHADEMA hta imsimamishe Jiwe ina uhakika wa kura million 2+ kila mwaka za kuanzia. Kitu ambacho nyie hamtowahi kuwa nacho.
 
He yaani unakaa na pandikizi mtu wa pili baada ya mbowe halafu unasema ni ceremonial? Sasa hao ambao sio ceremonial mbona hawaonekani wanakuongozeni kupitia twitter ya youtube? lazima ukubali chama chenu kimekufa
Huelewi CHADEMA.... Makamu Mwenyekiti ni kama tu makam wa Rais hana mamlaka yoyote zaidi ya kwenda kufungua Mashina na kutoa mahotuba tu viwanjani na ndio sababu Prof.Safari alistaafu coz hakua na mamlaka kikatiba.

So huyo Issa hana madhara kwa lolote awepo asiwepo..... Ila mtu kama Mwalimu anayemkaimu katibu mkuu toka enzi za Dr.Slaa akifanya dissertion ya aina yeyote lazima iwe issue kubwa ndani ya chama.
 
Ndio maana wamefukuzwa!! Kama nyie mlivyotimuliwa na Lipumba mlipomsaliti the principle is clear ili chama kibaki na heshima.

Sasa nyie kama kamati kuu mnakubali ku surrender kisa ving'ora? Maalim alipogomea 2016 nadhani umeona heshima na nguvu aliyoingia nayo 2020. Nyie waganga njaa ndio msahau kabisa hyo 2025 kuambulia chochote zenji maana CCM washajua mtakubali tu umakamu hta kma mmepo

Tutafukuza wote tu ndio discipline inajengwa... Ona kina Zitto walitimuliwa ili heshima ya chama iwepo na toka hapo hamna anayeogopwa kwenye chama otherwise yangetukuta ya Lipumba and the late Seif!!

About Issa Mohammed hana madhara.... Yupo pale ceremonial kwa sababu ya muungano tu so abaki atoke hana impact. Zeni ni kina Mwalimu ndio wapo kwenye inner circle.
Utafukuza vipi tukuamini wakati hao viti maalum munaodai kuwafukuza ndio wanaoendesha chama chenu kwa kupokea na kula ruzuku wanazokuingizieni kwenye account zenu za chama? kataeni hizo ruzuku basi madam muliwafukuza, tangazeni waziwazi mnakataa ruzuku
 
Cdm haijawahi na haitafanya matendo ya kijambazi kama mfanyavyo nyinyi majambazi wa uchaguzi
Soma post yang namb 56 utaelewa, ila kama umeruhusu wanasiasa wakushikie akili yako kwa malipo ya tumbo lako basi bila utapinga na ukweli wng
 
Utafukuza vipi tukuamini wakati hao viti maalum munaodai kuwafukuza ndio wanaoendesha chama chenu kwa kupokea na kula ruzuku wanazokuingizieni kwenye account zenu za chama? kataeni hizo ruzuku basi madam muliwafukuza, tangazeni waziwazi mnakataa ruzuku
Mnyika keshaita press na kusema hawajapokea Ruzuku sasa nyie mnaozusha ndio mna burden of proof.

Then nani aliyekwambia Viti maalum vinachangia ruzuku? Yaani toka muingie maridhiano naona mmeshakua na judgement kama ya CCM.

By the way wwe ndio Mr London? Maana ulikuaga na hoja nzito siku hzi umepatwa na nini?
 
Soma post yang namb 56 utaelewa, ila kama umeruhusu wanasiasa wakushikie akili yako kwa malipo ya tumbo lako basi bila utapinga na ukweli wng
Siwezi kufuata mawazo ya wachawi wa demokrasia kama wewe maana kwangu nakuona kama sumu tu
 
Mnyika keshaita press na kusema hawajapokea Ruzuku sasa nyie mnaozusha ndio mna burden of proof.

Then nani aliyekwambia Viti maalum vinachangia ruzuku? Yaani toka muingie maridhiano naona mmeshakua na judgement kama ya CCM.

By the way wwe ndio Mr London? Maana ulikuaga na hoja nzito siku hzi umepatwa na nini?
Kapigwa kipapai tayari
 
Kipimo cha kukubalika ni maandamano? Kwenye maandamano aliyovunjwa Jussa walijitokeza wananchi wangapi?

Ina maana Maalim hakubaliki kisa tu wananchi walijifungia ndani?

Toeni ujinga hapa..... Nguvu ya mwanasiasa inapimwa kwenye sanduku la kura sio uwezo wa kukwepa virungu.

Hayo maandamano yaliitishwa jointly na Lissu and Zitto? So kma wananchi waliogopa why Lissu and sio Zitto ambaye alikua buguruni kuorganize?

Lazima ufahamu CHADEMA imeenea nchi nzima ila ACT iko pemba na unguja tu and that's the difference..... CHADEMA hta imsimamishe Jiwe ina uhakika wa kura million 2+ kila mwaka za kuanzia. Kitu ambacho nyie hamtowahi kuwa nacho.
Naongea na mtu mjinga sana kumbe sasa kama Nguvu ya mwanasiasa haipimwi kwa popularity mpaka usubiri kisanduku cha kura izo kura zikiibiwa je? Maalim seif jussa na watu wengi walitoka maandamano ndio ikatokea watu kuumizwa kina jussa na mazrui kutekwa lakini huko Tanganyika usemako muna watu million 2+ ambao ndio waliotia kura kwenye kisanduku ata mmoja hakuna aliyetoka.

Leo chama chenu mnapokea informations kutoka twitter na youtube, Inasikitisha sana ukilinganisha na hapo awali
 
Huelewi context ewe CCM B..... Mwanasiasa akiwa jukwaani matokeo yake yanapimwa kwenye kuwashawishi watu kukupigia kura ili ukafanikishe ulichoahidi. Na hyo ipo kikatiba hakuna sehemu sheria ya vyama inasema mtu anapewa urais au ubunge kwa maandamano!! So huwezi sema nchi kama zimbabwe eti Chamisa hana ushawishi kisa maandamano hayakuzaa matunda its insanity!!

Ni kama inteligent student watampima kwenye marks zake sio kelele zake za kuleta ujuaji darasani wa kujbu maswali yote ya mwalimu.

So nyie ACT hilo hamtowahi kuwa nalo... Zitto na umaarufu wote ule alishindwa kuwapa hata wanachama laki 5 nchi nzima ndio mtaweza kweli kuwa na capital ya kura million 2 kabla ya chaguzi haijaanza?

Kubali tu CHADEMA is way ahead..... then unadai chadema inatoa habari twitter ila hushangai Kikwete na familia ya magufuli kujadili habari za twitter siku ya msiba?? Kwamba huko twitter sio watanzania au wanaotumia twitter ni maroboti?

Funny
 
Siwezi kufuata mawazo ya wachawi wa demokrasia kama wewe maana kwangu nakuona kama sumu tu
Demokrasia gani unayosema ww, ni hii ya mwenyekiti kubandua kipengele cha ukomo wa mwenyekiti na kukaa madarakani kwa zaidi ya miaka kumi bila kupisha wenzake wenye mawazo mbadala? au unazungumzia demokrasia ya makamu mwenyekiti kuishi nje ya nchi kwa kipindi kisichojulikana huku akitafuna hela za walalahoi kwa kisingizio cha chama?
 
Huyo makamu mwenyekiti mliyetaka kumuua kisa kabishana na bosi?
Nyie mbona hamna huruma kabisa?
 
Huelewi context ewe CCM B..... Mwanasiasa akiwa jukwaani matokeo yake yanapimwa kwenye kuwashawishi watu kukupigia kura ili ukafanikishe ulichoahidi. Na hyo ipo kikatiba hakuna sehemu sheria ya vyama inasema mtu anapewa urais au ubunge kwa maandamano!! So huwezi sema nchi kama zimbabwe eti Chamisa hana ushawishi kisa maandamano hayakuzaa matunda its insanity!!

Ni kama inteligent student watampima kwenye marks zake sio kelele zake za kuleta ujuaji darasani wa kujbu maswali yote ya mwalimu.

So nyie ACT hilo hamtowahi kuwa nalo... Zitto na umaarufu wote ule alishindwa kuwapa hata wanachama laki 5 nchi nzima ndio mtaweza kweli kuwa na capital ya kura million 2 kabla ya chaguzi haijaanza?

Kubali tu CHADEMA is way ahead..... then unadai chadema inatoa habari twitter ila hushangai Kikwete na familia ya magufuli kujadili habari za twitter siku ya msiba?? Kwamba huko twitter sio watanzania au wanaotumia twitter ni maroboti?

Funny
Kwa sasa Tanzania hatuchagui mtu kwa umaarufu wake, bali tunachagua mtu kwa kazi yake au utendaji wake na ndio maana uliona kina Mbowe na genge lake wameangukia pua ktk uchaguzi mkuu uliyopita. Sababu wananchi waliwapima kwa kaz zao na sio umaarufu wao. Haiwezekani kiongozi kama Mbowe yupo ktk jimbo kwa zaid ya miaka 10 lkn hakuna la maana hasa alilolifanya zaidi ya kuendelea kuwadumaza vijana kama ww kwa kuwahamasisha wafanye maandamano, migomo nk. Huku wananchi ktk jimbo lake wakiwa hawana maji, barabara, hospital nk. Najua anawatumia watu kama ww humu jukwaani kumtetea madudu yake lkn 98% ya watanzania tunajua kinachoendelea
 
Huelewi context ewe CCM B..... Mwanasiasa akiwa jukwaani matokeo yake yanapimwa kwenye kuwashawishi watu kukupigia kura ili ukafanikishe ulichoahidi. Na hyo ipo kikatiba hakuna sehemu sheria ya vyama inasema mtu anapewa urais au ubunge kwa maandamano!! So huwezi sema nchi kama zimbabwe eti Chamisa hana ushawishi kisa maandamano hayakuzaa matunda its insanity!!

Ni kama inteligent student watampima kwenye marks zake sio kelele zake za kuleta ujuaji darasani wa kujbu maswali yote ya mwalimu.

So nyie ACT hilo hamtowahi kuwa nalo... Zitto na umaarufu wote ule alishindwa kuwapa hata wanachama laki 5 nchi nzima ndio mtaweza kweli kuwa na capital ya kura million 2 kabla ya chaguzi haijaanza?

Kubali tu CHADEMA is way ahead..... then unadai chadema inatoa habari twitter ila hushangai Kikwete na familia ya magufuli kujadili habari za twitter siku ya msiba?? Kwamba huko twitter sio watanzania au wanaotumia twitter ni maroboti?

Funny
Lete matoke ya kura zenu hapa uchaguzi uliopita ili tuamini sasa muna taasisi kubwa., nadhan kama sikosei mliambulia mbunge 1 tu wa kuchaguliwa

ACT wamekupiteni sana ni zaidi ya wabunge 4, hii hoja ya wingi wa watu au uchache wa watu haina mashiko sana mbunge akishachaguliwa kuingia pale bungeni hata kama alichaguliwa kwa watu elfu 5 au laki 5 haina msingi wowote kwa vile wote wanakuwa ni wabunge wa JMT, na wanafanaya kazi sawa wanalipwa sawa. kwa hiyo hii haina mantiki.

Angalia, nyinyi muna capital watu milioni 2 lakini muna ushiriki mdogo sana au hamna kabisa kwenye serikali., Kwa vyama vya upinzani bado ACT wamekupigeni bao sana.

Huwezi kuongoza wananchi kwa twitter kuna wakati wananchi wako lazima wakuone tena kwa mapambano.
 
Mkuu sema tu hamna jipya kwa sasa.

ACT nao wanaenda kupima Rais hizi ndiyo akili za wapinzani wa Tanzania. Badala ujiandae kwa uchaguzi ukiwa na nia ya kushinda wewe unaenda kumpima Rais au lugha nyingine unaenda kupambana na Rais!

Akishindwa kwenye kura atakuja kusema ohoo nimeibiwa kura, hakuna Demokrasia. Ila akishinda haki imetendeka.

Kama unaona huna uwezo wa kushinda si bora ugome tu au utumie visingizio vya Chadema ambao hawana uwezo wa kushinda sasa wanajificha kupitia mgongo wa tume uhuru
ACT wanaenda kushinda. Uchaguzi utakuwa wa wazi sana na utashangaa jinsi NEC na Mkurugenzi watakavyo simamia. Hatakamatwa mtu na polisi na ACT wataruhusiwa kufanya mikutano. Baada ya huo ushindi, ACT watasahau kidogo mambo ya Katiba Mpya na serikali itajijenga katika jamii. Wanachosahau ni kuwa itadhihirisha kuwa NEC wanaenda kulingana na unakovuma upepo. Mahitaji ya Tume Huru yatabaki pale pale.

Na hata jimbo la VP litachukuliwa na ACT.

Amandla.. ..
 
Back
Top Bottom