zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
We huna unalojua mkuu hata kina polepole wakisoma hizi comment zenu wana wadharau. Hayo majimbo ya CCM kama kondoa yamewahi kuwa na maendeleo kuliko Hai? Mnajua mnaongea pumba tu. Kule Buhigwe kwa Mpango wanakunywa maji ya tope tokea uhuru na ipo chini ya CCM miaka yote?Kwa sasa Tanzania hatuchagui mtu kwa umaarufu wake, bali tunachagua mtu kwa kazi yake au utendaji wake na ndio maana uliona kina Mbowe na genge lake wameangukia pua ktk uchaguzi mkuu uliyopita. Sababu wananchi waliwapima kwa kaz zao na sio umaarufu wao. Haiwezekani kiongozi kama Mbowe yupo ktk jimbo kwa zaid ya miaka 10 lkn hakuna la maana hasa alilolifanya zaidi ya kuendelea kuwadumaza vijana kama ww kwa kuwahamasisha wafanye maandamano, migomo nk. Huku wananchi ktk jimbo lake wakiwa hawana maji, barabara, hospital nk. Najua anawatumia watu kama ww humu jukwaani kumtetea madudu yake lkn 98% ya watanzania tunajua kinachoendelea
We jiulize tu inakuaje Moshi mjini wapige kura watu elfu 70 tu alafu Hai wapige kura zaidi ya laki na nusu!! Ina maana Jimbo la hai lina population kuliko Moshi Urban? Tuweni serious kidogo.
CCM iliangushwa majimbo zaidi ya 100 but ndio hivo ilipora tu.... Mfano kule mtwara na lindi iliangushwa wazi kabisa ila eti majinbo yote CCM!!
Nyie mliamua kuiba endeleeni tu, na huyo mungu wenu sahivi analiwa na funza tu kuiba kulimsaidia nini sasa? Si angeiba Defibrillator mpya ili aongeze urefu wa maisha.
Embic.ile