Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
CHADEMA ni chama cha upinzani ACT na wajinga wenzao ni matawi ya CCM.CHADEMA wao wamegoma!
Kazi ipo!!!!
Mbona kina Halima Mdee hawakutimkia chama chengine cha Siasa waliunga mkono juhudi na kuungana na Chama cha Mapinduzi kule bungeni na mpaka leo umemskia au ku-tweet kitu chochote? inafaa kufahamu Chadema pia sio salama ni wale wale CCM lakini kama haitoshi Msigwa na Mnyika unajuwa waliongea nini baada jiwe kufariki?CHADEMA ni chama cha upinzani ACT na wajinga wenzao ni matawi ya CCM.
Hivyo ukome kuilinganisha CDM na hao waganga njaa wenzenu
Ufikiri wako na uelewa wako kwenye hili ni mdogo sana, ni bora ukae kimya tuMbona kina Halima Mdee hawakutimkia chama chengine cha Siasa waliunga mkono juhudi na kuungana na Chama cha Mapinduzi kule bungeni na mpaka leo umemskia au ku-tweet kitu chochote? inafaa kufahamu Chadema pia sio salama ni wale wale CCM lakini kama haitoshi Msigwa na Mnyika unajuwa waliongea nini baada jiwe kufariki?
Kwa ufupi elewa siasa za upinzani Tanzania zitakuwa zimetetereka pa kubwa baada ya maalim seif kufariki, peke yake alionyesha upinzani na wala hakuwa na bei. Sasaiv kwa Tanzania upinzani inabidi kuanza upya. Ndani ya Chadema mpaka dakika hii naandika wapo top leaders ni CCM.
CHADEMA ni chama cha upinzani ACT na wajinga wenzao ni matawi ya CCM.
Hivyo ukome kuilinganisha CDM na hao waganga njaa wenzenu
ACT ni CCM CCHADEMA ni chama cha upinzani ACT na wajinga wenzao ni matawi ya CCM.
Hivyo ukome kuilinganisha CDM na hao waganga njaa wenzenu
Yaani ni watu wa hovyo snMkuu sema tu hamna jipya kwa sasa.
ACT nao wanaenda kupima Rais hizi ndiyo akili za wapinzani wa Tanzania. Badala ujiandae kwa uchaguzi ukiwa na nia ya kushinda wewe unaenda kumpima Rais au lugha nyingine unaenda kupambana na Rais!
Akishindwa kwenye kura atakuja kusema ohoo nimeibiwa kura, hakuna Demokrasia. Ila akishinda haki imetendeka.
Kama unaona huna uwezo wa kushinda si bora ugome tu au utumie visingizio vya Chadema ambao hawana uwezo wa kushinda sasa wanajificha kupitia mgongo wa tume uhuru
Ungeonyesha mfano wake mimi sikuleta fikra mimi nimeonyesha waziwazi chama chenu cha Chadema kilivyoUfikiri wako na uelewa wako kwenye hili ni mdogo sana, ni bora ukae kimya tu
Siyo kweli, weka tume huru ya uchaguzi uone kama CHADEMA hawatashindaMbona kina Halima Mdee hawakutimkia chama chengine cha Siasa waliunga mkono juhudi na kuungana na Chama cha Mapinduzi kule bungeni na mpaka leo umemskia au ku-tweet kitu chochote? inafaa kufahamu Chadema pia sio salama ni wale wale CCM lakini kama haitoshi Msigwa na Mnyika unajuwa waliongea nini baada jiwe kufariki?
Kwa ufupi elewa siasa za upinzani Tanzania zitakuwa zimetetereka pa kubwa baada ya maalim seif kufariki, peke yake alionyesha upinzani na wala hakuwa na bei. Sasaiv kwa Tanzania upinzani inabidi kuanza upya. Ndani ya Chadema mpaka dakika hii naandika wapo top leaders ni CCM.
Itakuwa ni ujinga chama cha upinzani kuwa hakiwezi onyesha upinzani mpaka kuwepo na tume huru, nyi wabongo mmelegea sana hamukuonyesha kujikaza wakati wote tokea mumeanzisha chama chenuSiyo kweli, weka tume huru ya uchaguzi uone kama CHADEMA hawatashinda
Mpuuzi wewe, anzisha chama chako sasaItakuwa ni ujinga chama cha upinzani kuwa hakiwezi onyesha upinzani mpaka kuwepo na tume huru, nyi wabongo mmelegea sana hamukuonyesha kujikaza wakati wote tokea mumeanzisha chama chenu
Vipi cuf?CHADEMA wao wamegoma!
Kazi ipo!!!!
elewa anachoongea, hivi kama utashiriki uchaguzi ambao unahakika hata ukishinda unapigwa chini nini faida yake? sasa unataka watu wapoteze muda bure sio? bora washiriki CCM wenyeweItakuwa ni ujinga chama cha upinzani kuwa hakiwezi onyesha upinzani mpaka kuwepo na tume huru, nyi wabongo mmelegea sana hamukuonyesha kujikaza wakati wote tokea mumeanzisha chama chenu
...huo uamuzi baadae watakuja lialia hapa, mshindi anafahamika tayariNinawapongeza sana ACT kwa uwamuzi huo.